Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

Mmh. Kapeace umeamua kunifukua leo. Hahahaaa.

Huwa sina mzuka kabisa wa kuanzisha uzi halafu sijajua ni kwa nini aisee. Likes na ma msg niliyonayo yote ni ya kwenye nyuzi za watu lol.

Watanisamehe tu kama kuna watu nawachukiza.
Mi ni mmoja wa watu ninayetamani kuona nyuzi zako, maana madini uliyonayo unayabania sana kwenye comments!
 
Bado wanajifunza ili siku wakipost vije vitu vya kueleweka.
 
Mi ni mmoja wa watu ninayetamani kuona nyuzi zako, maana madini uliyonayo unayabania sana kwenye comments!
Usijali Mkuu. Nadhani nitakuja fanya hivyo huko mbeleni ila kwa sasa napenda nijifunze zaidi kupitia wengine.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Usijali Mkuu. Nadhani nitakuja fanya hivyo huko mbeleni ila kwa sasa napenda nijifunze zaidi kupitia wengine.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Fanya hivyo Mkuu, usitubanie madini hayoo!
 
Wakuu.
Kama heading hapo juu inavyojieleza.
Kuna memba wengi sijawahi kuona wameanzisha uzi humu zaidi ya kuchangia tuuuu.
Wengine wanachangia na kutoa ushauri mzuri ila wengine wachafuzi wa lugha na kashfa kibao mixing na wivu.
Tumepata wasaa hapa tuwaanike ili na wao washushe vitu vyao humu.
Naamini tuna mengi ya kujifunza kwao hivyo basi wasijifiche nyuma ya keyboard tu na kuwa wachangiaji.

Kuna mmoja ni msela wangu huwa anaquote vizuri sana na ndio huwa wakwanza!si mwingine joseeeverestt.
Tunasubiri uanzishe uzi wako hata siku moja na si tuwe wa kwanza kuquote.

Na wengineo mtawajazia
HAHAAAAA

SIO BURE UNETUMWA MKUU ...sasa hayo Mawazo Yetu simnayapata kupitia hzo nyuzi zenu ambazo mmekuwa mkizianzisha kama ambavyo unayapata Mawazo Yetu kupitia huu Uzi wako "" sisi tumeamua kuwa wazee wakamati nyinyi ongozeni baraza tu wakuu
 
Joseverest anazo mada lkn sio nyingi nilivyomuelewa ni wale wasiopenda kuandika mada mara kwa mara mf mwingine ni emmyta nae ana uzi mmoja tu hiyo ni sawa na hakuna tu lkn kwa kuchangia sasa uzi gani emmyta utamkosa
Hata wewe una uzi mmoja
 
Back
Top Bottom