Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

Tuwaanike memba ambao mabingwa wa kuchangia tu lakini hawajawahi kuanzisha thread zao.

Zawadi maalum kwa ajili yako siku hii muhimu.
Hebu nnnnjooo
Mbio zoote halafu nisikukute utanitambua kuna wakati nilikuwa naoga si nikakukumbuka bhana una maisha marefu wewe
 
Mmmmmmh
Masimango ya live!!!!
Demiss atanifuta machozi kama nikilia

aitiviiiiiiii,maraaaaa!!!
 
Nimeanza kusoma/kuijua jamiiforum 2013 nkawa msomaji tu mpaka 2016 naisi ndio nilijiunga kuwa member tangu hapo nimekuwa mpenzi mchangiaji tu ila soon nitaanza kutia kamba humu coz kuna visa mikasa vituko vingivingi tu ila tatizo ku type ni miziki
 
Back
Top Bottom