Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.

Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
Hongera dada, huyo ndio husband material na a very good father of your future children's. Wanaitwa ma introvert, na wengi wakigundua hupendi hulka zao basi hukuacha kimya kimya na kutafuta mwingine Kisha utakutana na wanaume nginjanginja mguu wa shingo mguu wa roho miksa ngumi mkononi, kosa kidogo Kofi, mikaripio ya kufa mtu Hadi umkumbuke introvert wako, ukija kustuka na kurudi utakuta ameshawahiwa na mwingine. Kikubwa mzoee na kumkubali alivyo Tena baada ya mda na wewe uta realize Kuwa Kuwa cool person ni very good thing Kisha na wewe utahamia upande wake Ingawa haitakuwa sana kama yeye. Na ukiona hamuendani muache aende for good na sio kumsimanga na kumsema Kwa upole wake, though later you will regret to lose that man.
 
kingereza unachojua wewe ni 'oh my god' 'fvk me hard'
Ila kiswahili unakijua vizuri 'baby ingiza yote😀' nikakujib 'mbona nineingiza yote' ukajifanya ooh naisikia sasa inauma lwel baby una machine 🤣🤣

tulivyoachana ukaanza kunitangaza ni kibamia😀
Somebody is going to have ban in a minutes ahead 😂😂😂😂
 
Haiwezekani mbona EX Leejay49 hamrarui future kwa maneno inawezekana huu ni uongo+ 😂😂😂
Alikuwa demu wangu tukaachana kisha kila mtu akaenda na kumi zake baadae mashemeji zake wakammind kwel mbona waliweka mpaka uzi. Ngoja nitafute
 
kingereza unachojua wewe ni 'oh my god' 'fvk me hard'
Ila kiswahili unakijua vizuri 'baby ingiza yote😀' nikakujib 'mbona nineingiza yote' ukajifanya ooh naisikia sasa inauma lwel baby una machine 🤣🤣

tulivyoachana ukaanza kunitangaza ni kibamia😀
hahahah😂😂😂😂@Gily hapana
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna muda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya, hela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno.

Ukileta utani kidogo anacheka haongezi, utani mwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya hadi mnuke midomo.

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaha yoote mtu uliokuwa nayo.

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
hamnaga jema
 
Wanawake sijui mnakwama wapi?
Ukimpata muongeaji unalalamika eti anaongea kama mwanamke, umempata mkimya unasema hachangamki, ukimpata mkali unasema anafokafoka , daah sijui huwa mnataka nini nyie?? Akili zenu mnazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom