Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote...
Uyo mwanaume hajaja duniani kukufuraisha wewe, Wala hajaja Kwa ajili Yako eti afanye sijui upuuzi Gani ufurah big no.

Yupo duniani ana mission zake za kutimiza na ww ni sehem tu ya kupotezea mda..so acha kumtoa mwenzako kwenye reli yake!!😂😂😂😂
 
Kwaiyo
Hamtaki pesa tena ?
Hamtaki kukojoleshwa?
Hamtaki gentleman ?
Hamtaki men Royal?
Hamtaki six part ?
Hamtaki player ?

Saivi Mna taka mpiga kelele /comedian? [emoji23][emoji23]
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaani wapole sana tufanye nini ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mna mahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaani hana maajabu yoyote....
Kitandani vipi lakini anakukojoza vema au na kwenyewe ni kimoja chali?
 
The beast and super villain😂.

I thank God my day has bn wonderful.
Hope you good bro.
everybody who knows me knows I am nosy
qnd everybody who knows you knows you are knowsier 😀
maxresdefault (2).jpg

I like our chemistry together 😀 I wish I could have met you before Mr Kipipa😬
 
Back
Top Bottom