Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bas bhana mkifika uko ye atachagua penye kagizagiza atatulia huko utamsimulia vyoote utamwonesha vyoote ila ye atakuwa anakenua tuuu kama ndo mchana atavaa kapelo ohooo chezea ukimya wew
Sorry to say ila ni kama humpendi huyu mwanaume.
Mi naona mwanaume mpole ni very romantic sio mwanaume ropo ropo ka dr Kumbuka.
 
Hahahahah! najua utakataa tu but ni ukweli na nimeexprience hicho kitu mara nyingi sasa leo uvumilivu umenishinda nimeona niulize


au macho yako asilimia kubwa yapo kwa hili jukwaa kuangalia new threads
za kataa ndoa ndiyo nawahi nipigilie msumari vizuri
izo zingine siyo sana
 
ukitaka kuwawin wanawake wengi jitahidi kila kitu kwako kiwe neutral (..be centered) usiwe mkorofi sana uwe kiasi, usiwe mwongo sana uwe kiasi, usiwe mpole sana uwe kiasi, usiwe na michepuko sana uwe kiasi, usiwe mjuaji sana uwe kiasi usiwe zuzu sana uwe kiasi.. usiwe kiherehere sana uwe kiasi.. na umri huu sijui mwanamke gani nayemtaka na sitamkosa ila asiwe mke wa mtu au demu wa mtu.. chukueni code hiyo hangaikeni nayo..
Hata ufanye nini mwanamke akishakuzoea ataishia kukuona boya tu labda upate yule anayejielewa na aliyepitia mengi.

Utasikia hili janaume nalo halina uwezo wa kujisimamia kufanya maamuzi magumu kila kitu liko neutral/centered. I wish ningekuwa na mwanaume anayejielewa anasimamia nini....

Hawa ni kucheza nao kwa kuzingatia bit inavyokwenda...ukijifanya una vifomyula vyako imekula kwako ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Nyie wanawake hamtokaa mueleweke hata siku Moja, mwanaume akiongea mnasema muongeaji akikosa hela mnamsema vibaya.

Sasa huyo wako kakidhi kigezo Cha pesa na mengineyo ila kachemka tu kwenye uongeaji umeamua kuja humu kumsagia kunguni.

Mungu hakupi vyote.
 
Hakawii kutafuta picha yoyote inayofana na gruu! Ilikuleta maana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mchaga wa mwisho kupewa nywele๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
hapa nikiwa nimenyoa
rs_600x600-130703124143-600.Gru.mh.070313.jpg

hapa nikiwa na nywele
hqdefault (1).jpg
 
Wanawake tuwe na msimamo basi....
Tunataka hela au machangamshooo.

Binafsi nataka hela machangamsho yatakuja yenyeweee...
OVER
 
Back
Top Bottom