Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Ndo hivyo mkuu na hata ujifosi kuwa muongeaji huwezi.

Mimi sio mpole ila watu wengi wanadhan ni mpole na wengine.wanadhan nina dharau ila kuna watu nikiwa nao najikuta story zinakuja tu na wengine nakua muitikiaji tu.
Kweli kabisa sikupingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…