Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Ku fake fake mwishowe iwe kweli🀣
Huyu kazaliwa kupenda mbususu and mbususu he shall love till he dies.
Siwez kukubali um convert aanze kupenda vipenyo 🀣🀣
Leave IamBrianLeeSnr alone 🀣
Roba ya mbao nipige ila sikuogopi tena🀣🀣
 
Hapo shida ni ex alikua anakuchezesha rafu michezo utundu mautani utaniutani mastory kama yote uvoachana nae ukakutana na huyo wa tofauti.... !
Pole sana dear binadamu tunatofautiana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaaaa mnooo, sasa wee unamsemea?? Unayajua yaliyo moyoni mwakeee?? Wee relaaaaaaxxx km ni baba tamu wakoo wee sereleka naee

Mie jana nilikua nachamgamsha jukwaa na yeye ndo alianza kunichokozaaa mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni utani tyuuh.
 
Nilikua natania pia mpenzi.
Tufurahi tuongeze siku za kuishi😘❀️.
Hata yeye huyo IamBrianLeeSnr anayoniambia najua ananitania tu hamaanishi❀️😘
 
Ila kuna saa nikahisi nyie ni couple kweli ujue🀣🀣
 
Ila kuna saa nikahisi nyie ni couple kweli ujue[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaa hata, afu hatujawahi hata kuchat kokote zaidi ya jukwaani, na ilitokea siku yeye kuna uzi alinizungumzia kuwa ananipenda sanaaa, hadi ananiotaa ndo kisangaa kikaanza.

Watu walimsanuaa vya kutoshaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi ulikua pambeeee au hukuwepooo wee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila cocastic mungu anakuona!
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Heee shouz mpaka jamaa limekuota lazima ana kitu moyoni juu yako.
Ntakusaidia kukitafuta hadi tukipate tuone ni niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Naomba link ya huo uzi dear mi sio wa long humu sijauonaπŸ˜‚πŸ˜‚

Ndo mana nikajiuliza huyu coca hii jeuri anaitoa wapi kumbe msela angu mwenyewe ndo kakupa jeuriiiiπŸ˜‚πŸ˜‚

IamBrianLeeSnr kumbe eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…