Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio akikupenda nawe mpende, unajua maumivu ya mapenzi wee?? Hata kufake fake ili mwenzio niwe na amani.

[emoji24][emoji24][emoji24] ona hadi nakulilia jomoneee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ku fake fake mwishowe iwe kweli🤣
Huyu kazaliwa kupenda mbususu and mbususu he shall love till he dies.
Siwez kukubali um convert aanze kupenda vipenyo 🤣🤣
Leave IamBrianLeeSnr alone 🤣
Roba ya mbao nipige ila sikuogopi tena🤣🤣
 
Hapo shida ni ex alikua anakuchezesha rafu michezo utundu mautani utaniutani mastory kama yote uvoachana nae ukakutana na huyo wa tofauti.... !
Pole sana dear binadamu tunatofautiana!
 
Ku fake fake mwishowe iwe kweli[emoji1787]
Huyu kazaliwa kupenda mbususu and mbususu he shall love till he dies.
Siwez kukubali um convert aanze kupenda vipenyo [emoji1787][emoji1787]
Leave IamBrianLeeSnr alone [emoji1787]
Roba ya mbao nipige ila sikuogopi tena[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaaaa mnooo, sasa wee unamsemea?? Unayajua yaliyo moyoni mwakeee?? Wee relaaaaaaxxx km ni baba tamu wakoo wee sereleka naee

Mie jana nilikua nachamgamsha jukwaa na yeye ndo alianza kunichokozaaa mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni utani tyuuh.
 
Nilikua natania pia mpenzi.
Tufurahi tuongeze siku za kuishi😘❤️.
Hata yeye huyo IamBrianLeeSnr anayoniambia najua ananitania tu hamaanishi❤️😘
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaaaa mnooo, sasa wee unamsemea?? Unayajua yaliyo moyoni mwakeee?? Wee relaaaaaaxxx km ni baba tamu wakoo wee sereleka naee

Mie jana nilikua nachamgamsha jukwaa na yeye ndo alianza kunichokozaaa mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni utani tyuuh.
Ila kuna saa nikahisi nyie ni couple kweli ujue🤣🤣
 
Ila kuna saa nikahisi nyie ni couple kweli ujue[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaa hata, afu hatujawahi hata kuchat kokote zaidi ya jukwaani, na ilitokea siku yeye kuna uzi alinizungumzia kuwa ananipenda sanaaa, hadi ananiotaa ndo kisangaa kikaanza.

Watu walimsanuaa vya kutoshaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi ulikua pambeeee au hukuwepooo wee.
 
😂😂😂😂😂 Ila cocastic mungu anakuona!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaaa hata, afu hatujawahi hata kuchat kokote zaidi ya jukwaani, na ilitokea siku yeye kuna uzi alinizungumzia kuwa ananipenda sanaaa, hadi ananiotaa ndo kisangaa kikaanza.

Watu walimsanuaa vya kutoshaaa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi ulikua pambeeee au hukuwepooo wee.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃

Heee shouz mpaka jamaa limekuota lazima ana kitu moyoni juu yako.
Ntakusaidia kukitafuta hadi tukipate tuone ni nini😂😂😂.

Naomba link ya huo uzi dear mi sio wa long humu sijauona😂😂

Ndo mana nikajiuliza huyu coca hii jeuri anaitoa wapi kumbe msela angu mwenyewe ndo kakupa jeuriiii😂😂

IamBrianLeeSnr kumbe eeeh?
 
Back
Top Bottom