Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Ule uzi sijui ulifutwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walitema shomboo, watu walitukanaaa balaaaa, na mie nilipoona natukanwa sana nkashuka naye acha nimchambe na kumshushua.

Ilikua hatariiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndyooo sasa unakataa nn? Hadi nkaanza kukuchambaaaa, ukome kuzoea watu hovyo au kukurupukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila siku ile nilikuchambaaaa uwiiiiiih, na niliku shushua haswaaaa.
Ulishababisha nikawa sina amani pale tu napo ona reply’s zako kwenye uzi wowote naupita speed sana😂😂😂😂😂😂
 
Sasa mie ndo niko serious?? Wee na Clepatina mdumu milele, ntakua MC ktk harusi yenu.

Niichachue vyedii harusi ya Ex wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaah hapo umenena vizuri sana! 😍😍😍😍
 
Ulishababisha nikawa sina amani pale tu napo ona reply’s zako kwenye uzi wowote naupita speed sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaaaa usichukulie serious sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nisamehee bureeee wallah.
Sometimes huwa nakuwajee sijuii., nizoeee Ex baba tamuu.
 
Ewaaah hapo umenena vizuri sana! [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Yeaaaah Ex nimekubali kumuachia Clepatina, ila mpe upendo km ambao nilikupa mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], maumivu ya mapenzi ji [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sitaki kiumbe mwingine adondoshe chozi juu yako, nimedondosha mie imetoshaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapanaaaa usichukulie serious sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nisamehee bureeee wallah.
Sometimes huwa nakuwajee sijuii., nizoeee Ex baba tamuu.
Wala usiwaze nilishasamehe siku nyingi sana😍😍😍😍😍
 
Ulidondosha chozi 🤭
Pole sana kwa kukukwaza mtu wangu!
Hata sikuwaza ingekuwa hivi nisamehe wangu😍😍🥰😍😍
 


😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii ni breaking niuz kwangu ujue shosti.

Ukute jamaa anapenda kina nyie hlf anasumbua kina Tinah bure😂😂
So Yeye ndo alisababisha ukatukanwa???😂😂😂😂
 
Sasa mie ndo niko serious?? Wee na Clepatina mdumu milele, ntakua MC ktk harusi yenu.

Niichachue vyedii harusi ya Ex wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeee Coca!
True love neva die.Ex gani?Nyie hamuachani nyie😃
Huyo wako wangu yupo katulia ananizoom tu😂😂
 
Yaani uniachie makombo shosti😂😂.
Wee endeleeni tu 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie natukanwa bila sababu, yeye alisema alichokua anajisikia, wakati huo mie hata sijui km kuna jamaa ananiota na ananipendaaaa, woiiiiiiiii

Yaan badala wamtukane yeye, watu wananijia mie, nkaaamsha kichaa changu cha ungonini,
Wachaa nimchambee na kumshushua huyo Ex hadi hatariii.

Ktk siku niliswampisha JF bas ni ilee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakweli nina love kubwa sana moyoni mwangu kwa mtu yeyote ila hisia za mapenzi zipo kwa wanawake 100%

Am real I LOVE YOU Clepatina deep down from my heart ❤️ 🥰
 
Weeee Coca!
True love neva die.Ex gani?Nyie hamuachani nyie[emoji2]
Huyo wako wangu yupo katulia ananizoom tu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ameshaniachaa huyooo, kanifukunyuaa wee sahivi amekimbilia toleo LA kwanza, mie wa toleo la 2 ni fake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ameshaniachaa huyooo, kanifukunyuaa wee sahivi amekimbilia toleo LA kwanza, mie wa toleo la 2 ni fake.
Sasa utakubalije akufukunyue hlf akuache na wewe😂😂.
Kama hujui jins ya kuwa king'ang'anizi niambie nikufundishe😂.
Mgande kama luba.
Ukiona tu anasogelea mdada chimba huyo mdada biti.😂.
Kwan ulimtuma aseme kakuota🤣.
Kaona ushafoli inlavu anataka kukukimbia.
Wewe ndo tolea namba moja na namba kumi na moja wake usikubali😂
 
Shouzzz nshakuachiaaa huyo mwanaume na kasema anakupendaa balaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi atuoe wote🤣.
Akisafiri mwiz akija mi naingia mvungun wee unapambana na chori kiume😂.
Akichelewa kurudi safari anakuta natema mate tu ushamsaidia kunitia kibendi halafu akiwepo wote tunajilegezaaa tunajikausha ka pisi kali zisizo na hatia🤣🤣🤣🤣
 
Ungemwambia Kuna mchongo unausikilizia😀😀Akipiga Tena Unasema Bado subiri wiki ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…