Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Sasa inakaaje maana siye wengine ndo nature yetu upole, ukimya no maneno mengi
 
Kweli wanawake tunajitafutiaga kulia wenyewe unawataka wanaume waliojanjaruka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@DeepPond role model wangu hapa JF, kaka hivi wewe mpole?!
 
Shida tumeangali sana Porns video hata kusabisha kila unaemwangalia unaona yupo uchi sasa imebidi kubadili fikra na kudili na mitikasi ya kazi sana na majukumu mengine na kuchagua ukimya..
Na ndicho kilichobaki. Brother uliniambia nikitaka niwe nazo niwe na roho ngumu kwa marafiki!
 
kuna mda hata unatamani ajanjaruke ila sasa kagandaaa tu
Ndo alivyoumbwa dear.
Angalia mazuri yake na upendo wake kwako hata wewe una kasoro zako anazivumilia na wewe vumilia hilo japo mi naona ni sifa nzur mwanaume sio linaropokwa ropokwa tu na mautan ya kijinga na mauongo uongo mengi
 
Wanawake siku mkijua mnachokitaka; na Masihi Atakuja siku hiyo hiyo wallahi 😁😁😁
ukitaka kuwawin wanawake wengi jitahidi kila kitu kwako kiwe neutral (..be centered) usiwe mkorofi sana uwe kiasi, usiwe mwongo sana uwe kiasi, usiwe mpole sana uwe kiasi, usiwe na michepuko sana uwe kiasi, usiwe mjuaji sana uwe kiasi usiwe zuzu sana uwe kiasi.. usiwe kiherehere sana uwe kiasi.. na umri huu sijui mwanamke gani nayemtaka na sitamkosa ila asiwe mke wa mtu au demu wa mtu.. chukueni code hiyo hangaikeni nayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…