Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno

Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Ndio maana mnaambiwa tulieni mpaka mje kuolewa,hiyo shida unaipata kwa sababu ya kutest test wanaume tofauti,lakini ingekuwa huyo ndio wa kwanza wala usingeona hiyo ni shida...
 
Kuna demu nilikuwa namuonesha upole anacheat na nagundua nikawa namwambia uombe niendelee kunywa pombe nikiacha pombe itakuwa zamu yako akawa haamini nilitulia kama mwaka na point nikapumguza pombe saiz ananiomba niendelee kunywa pombe,tukitulia msitake tuwe wajanja
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno

Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Na kubanduana anakuwa mpole, style ile ile kile siku, anakuongolesha kwa upole...
 
Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida

Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote

Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno

Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo

Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo

Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha
Tafuta mwenza wa nyota Yako...yaani mnaye endana.,.....Kuna watu wa nyota Fulani wanamtaka wa hivyo wamemkosa....siku hizi tunabebana TU bila kujali haya mambo,,, zamani walizingatia haya.
 
Shida tumeangali sana Porns video hata kusabisha kila unaemwangalia unaona yupo uchi sasa imebidi kubadili fikra na kudili na mitikasi ya kazi sana na majukumu mengine na kuchagua ukimya..
 
Back
Top Bottom