Jamani kuna nyie wanaume wapole kupita kiasi yaan wapole sana tufanye nin ili angalau muwe kawaida
Unakuta mwanaume ndo imeshatokea mnamahaba sasa ila hajiongezi yupoyupo hana michezo ya ajabu yaan hana maajabu yoyote
Yaan mpaka kuna mda mtu unahisi yan hapa nilijitongozesha maana unakuta kijana kimya ela ndo mdomo wake kila unachomwambia anasema sawa habishi hakatai ukisalimia anajibu hana nyongeza ya neno
Ukileta utani kidogo anacheka haongez utanimwengine yaan utajikuta umegeuka kiredio chake kama Huna story mnaweza mkakaa kimya adi mnuke midomo
Huyu mwanamme mpole anachojua ni kufunuana usiku tu aibuuu anazo yeye upole anao yeye yaan inagharimu furaa yoote mtu uliokuwa nayo
Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizid ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jaman angalau mlete hamsha hamsha