cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee mie sitakii, huo urafiki unataka kuninyimaa nini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu amebaki kuwa rafiki tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie watu wanaokojoa kwa kusimama huwa sio marafiki zangu, ila wanakua baba tamu wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko hapoo kwa urafikii nehiiiii, emu ukujee tenaaa naweee tukumbushiee. Uwiiiih