cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Si style ya mapenzi dear, spooning huijui??Ila hujanijibu spooning ni nini.Sorry kwa maswali mengi mengi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si style ya mapenzi dear, spooning huijui??Ila hujanijibu spooning ni nini.Sorry kwa maswali mengi mengi wangu
Siijui nitai googleSi style ya mapenzi dear, spooning huijui??
Okay thanks❤️🙏.Wee nambie kuwa wazi wala usiogopeee, niko cool sanaaaa, ushauri na maonyo napokea, utekelezaji unabaki kuwa kwangu.
Maisha mafupii hayaaa bhanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh ahsanteee sanaa, usijari siku nikiamua kuachaa, nitaacha ila now acha nizifaidi mishedede. [emoji23][emoji23][emoji23]Okay thanks[emoji3590][emoji120].
Unamfahamu mtu yeyote aliyekua gay then akaacha?
Naomba kama unaweza uache bestie[emoji120][emoji3590][emoji120]
Poa mwaya🙏❤️Ooooh ahsanteee sanaa, usijari siku nikiamua kuachaa, nitaacha ila now acha nizifaidi mishedede. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120][emoji178][emoji178]Poa mwaya[emoji120][emoji3590]
huu ni utovu wa nidhamumgusishe mashine kwenye tigo uone kama hataongea
😢😢😢Weee shindwa!
Siwezi kuwa mkeo kwa mengi,🤣
Mojawapo ni Coca ni bestie angu siwezi muingilia🙏
Bora nikawe mtawa kanisani wee una mambo makubwa sikuwedhi🤣🤣
Asante mkuu❤️🙏
Ahsante kwa shukuru!Asante mkuu❤️🙏
😂😂😂Kumbe Sisi wasumbufu tunaonekana tumeibiwa nyumbaNiliona nikiendelea kumpa airtime huyu atajiona mshindi. Ikabidi nimalizane nae then tufunguane mashati. Sahivi anapiga simu kama kaibiwa nyumba. Sipokei wala simblock akichoka ataacha kwa muda wake.
Akuuu🤣Ahsante kwa shukuru!
Usinikazie kiivyo kibuti kinauma sana😂😂😂
Mimi napenda wewe🌹Akuuu🤣
Hatari Sana mkuu, unaweza kupigiwa simu mpaka ukahisi huyu mtu atakuwa mikononi mwa wale walinzi shirikishi wa mtaa kumbe anataka hela ya gas tu😀😀😂😂😂Kumbe Sisi wasumbufu tunaonekana tumeibiwa nyumba
Sitaki and don't stalk me?,🙏Mimi napenda wewe🌹
Ngoja umzoeshe amsha amsha ageuke kiwembe ndo utajua hujui 😁Ndio tunapenda wanaume watulivu lakin utulivu ukizidi ni keroo
Sasa tuwachangamsheje jamani angalau mlete amsha amsha
No i don’t stalk you just try to understand my point please!Sitaki and don't stalk me?,🙏
[emoji23][emoji23][emoji23]nikuunganishe nae?Jamani Mimi ndio napenda wanaume wa hivyo, ila sipati[emoji19][emoji23]
Tunataka mliochangamka kiasi sio mzidi ukimya bwana[emoji28]Wanawake siku mkijua mnachokitaka; na Masihi Atarudi siku hiyo hiyo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]