Kutoboa ni ngoma nzitoHuku kwetu vi eka kadhaa tu unakuta watu 20 shambani mavuno gunia hazifiki hata 50
Wengi wanafanya kwa ajili ya chakula cha familia tuKutoboa ni ngoma nzito
Hata hivyo wanajitahidi mazingira ni magumu mnoWengi wanafanya kwa ajili ya chakula cha familia tu
Nilitaka nitoe mchango wangu mzuri kabis kwa manufaa ya watu humu na taifa kwa ujumla ..ila comment yako imevuruga kila kituWatanzania wawili walio enda kusomea mambo ya kilimo huko Israel hawajulikani walipo hadi sasa...😥
Mkuu, kwani kuna sehem nimekuzuwia usiandike boss...🤨Nilitaka nitoe mchango wangu mzuri kabis kwa manufaa ya watu humu na taifa kwa ujumla ..ila comment yako imevuruga kila kitu
Sasa kama vijana niliowatuma umeniambia hawafamiki walipo nitasema nini tena wakati ndo walikua ushuhuda wanguMkuu, kwani kuna sehem nimekuzuwia usiandike boss...🤨
Bahati mbaya, mawaziri husika wanakula bata IndiaWatanzania wawili walio enda kusomea mambo ya kilimo huko Israel hawajulikani walipo hadi sasa...😥
Tanga kuna vikundi vya wakulima wa machungwa. Naona vinafanya kazi kwa wakulima kuyakusanya hayo machungwa kwa kikundi chao kisha kikundi klinashughulikia kutafuta soko na vitu kama hivyo.Na kubwa kuliko yote ,ikiwa utabahatika kuvuna kwa wingi .kila kitu kitakuozea nyumbani wanunuzi hakuna isipokuwa walaji wapo wengi ,watu walee kodi,mazao yote umeyapata wapi ? Na hakuna uwezo wa kuyasafirisha kwenda nchi za ghuba ya uajemi.
machungwa yanatuozea ,maembe yanachezwa mpira mananasi ya mpingo yanaoza na Serikali inaona lakini haina msaada wowote wa kuwawezesha wananchi kusafirisha nje na kujipatia hela za kigeni.
Na kama atajitokeza mtu kusafirisha vizingiti vinavyowekwa vinamvunja sio moyo hadi miguu.
Na niliwahi kusikia usafirishaji wa mazao kutoka nchi kwenda nchi za nje ni lazima kuwepo na makubaliano ya kiserikali sina uhakika kwa hilo.
Niliokuwa na uhakika nalo ukipita na pakacha ya maembe pale uwanja wa ndege basi utazuiwa na kuambiwa unasafirisha hazina ya Taifa, una kibali ? Pakacha tu au mahindi ,Zenji ukipita na shokishoki 50 tu basi unazuiwa lazima uonyeshe kibali.
.
Niliokuwa na uhakika nalo ukipita na pakacha ya maembe pale uwanja wa ndege basi utazuiwa na kuambiwa unasafirisha hazina ya Taifa, una kibali ? Pakacha tu au mahindi ,Zenji ukipita na shokishoki 50 tu basi unazuiwa lazima uonyeshe kibali.