Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiwaona wa hivyo tema mate chini, piga alama ya msalaba kisha endelea na safari zako
Hujaambiwa uache kuogea sabuni nzuri na manukato ya kutosha,no,ameuliza kwanin mnapenda kutoga masikio mkaona haitoshi mmeamua kutoga na pua,aiseee hivi wanaume wa dar mna matatizo fan?Kamwe Sitakaa na Michunusi Usoni Sitaacha kuogea Sabuni Kama Deto na Shower Gel eti kisa Mwanaume Never napenda kuwa Smart!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you made ma day wallahWameshaanza kuvaa madera...... Ktk miziki yao wanayoita Singeli wacheza shoo wanavaa Madera...... Hii ni laana ama??
Mbona kama huu uzi umekugusa sana,kama kuna kaukweli hebu jaribu kubadilika,hayo mambo waachie kina JamesJitu Limeingia katika Jukwaa la Urembo halafu lina Pretend kuwatukana watu wanaoishi Dar es Salaam Tanzanians hatujielewi.
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka pua wanatoa maana hereni wameona haziwatoshi. mwanamke tunavaa modo kutokana na maumbile yetu sasa hili la mwanaume unavaa modo ili? kiukweli wanaume wa sasa mnafika mahali mnajidhalilisha sana mwanaume unatoboa pua?