Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?

Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?

kuna modo zimetoka zinabana kwa chini ndiyo wanazikimbilia balaa nawakubali sana machalii wa arusha ni wagum sana adi mavazi
Hao ndio Wanao jiuza kwa Wabibi wa Kizungu?!
 
Wanaume wana laana sana sasa hivi kuna kitu kinaitwa MITINDO hiki kitu kimefanya hata kofi olomide awe anavaa masketi na umri wote ule.

Sasa kwa hapa nchini vijana wengi wameathiriwa na ujinga wa kuiga kila waonacho kwenye prison break wanafanya hvyo hvyo usishangae kuona watu wananunua poda na kuvaa modo ile hali ni wanaume.

Mwanaume unajipodoa ili iweje uolewe au wakupose?
 
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka pua wanatoa maana hereni wameona haziwatoshi. mwanamke tunavaa modo kutokana na maumbile yetu sasa hili la mwanaume unavaa modo ili? kiukweli wanaume wa sasa mnafika mahali mnajidhalilisha sana mwanaume unatoboa pua?
Ungekua sahihi zaidi kama ungesema wimbi la wanaume wa Dar es Salaam.
 
Jitu Limeingia katika Jukwaa la Urembo halafu lina Pretend kuwatukana watu wanaoishi Dar es Salaam Tanzanians hatujielewi.
 
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka pua wanatoa maana hereni wameona haziwatoshi. mwanamke tunavaa modo kutokana na maumbile yetu sasa hili la mwanaume unavaa modo ili? kiukweli wanaume wa sasa mnafika mahali mnajidhalilisha sana mwanaume unatoboa pua?
Ndugu mtoa maada!!
Habar!!
Inaonekana kukerekwa sana na baadhi ya tabia sisizo stahiki zinazokukera zaid kwa wanaume
Lakini sina uhakika kama n hizo tu zinazokukera bila shaka hata izi nazo

-wanawake wanaovaa nguo za kiume,matom boy!!...

- lakin kwa swala LA kujichubua sidhan kama ni zuri !! Kwa wote wanawake na wanaume!!

Pia bila kujudge tuliangalie kwa mapana yake
Kujichubua-wakongoman kwao ni hulka/tamaduni/mazoe yao kwao wanaume ndo wanajipamba na kujichubua ( vipodozi vikal kongo) na kwao hilo kawaida no case wakat wanawake hawahangaiki na mapambo sana (wagum)...ingawa SAA iz kunamuingiliano baadhi ya mambo yanabadilika

Masai..wanaume wanajipendezesha kwa rasta na dye za nywere wakat wanawake n vipara kwenda mbele

Kutoboa masikio:Masai wao wanatoboa wote na kuvaa hereleni na mapambo ya shanga

Kwa hiyo mambo mbalimbali yakifanywa kulingana na tamaduni fulan ni kawaida!! Tatizo huja kwa wale wasio natamaduni kuiga!!
Na kwa wale wanaofanya ili kufanana tu na wanawake au matatizo ya kijinsia !!
Kwa hiyo unavojaribu kujudge uwe unaangalia usimbeze mkongo man kumbe kwao ndivo ilivo!!
 
early 20's....!ndio shida yao...

huwa siamin mtu anayenyoa kiduku, kama J2 au ijumaa ataweza kwenda kanisani au msikitin
 
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka pua wanatoa maana hereni wameona haziwatoshi. mwanamke tunavaa modo kutokana na maumbile yetu sasa hili la mwanaume unavaa modo ili? kiukweli wanaume wa sasa mnafika mahali mnajidhalilisha sana mwanaume unatoboa pua?
Wanautamani ulimwengu wa kike
 
Back
Top Bottom