Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?

Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?

Mimi hujanikwaza siku moja uwe na point za mini kifanyike pasipo kulaumu
mkuu silaumu ila wewe unaona ni sawa wanayofanya? acha panganga mkuu dume linajipodoa na kutoboa pua?
 
umewasahau wavaa Chen, wapiga tattoo, wapaka marashi. Mwanaume anatumia roll-on, lotion au mafuta mazito tu.
 
mkuu silaumu ila wewe unaona ni sawa wanayofanya? acha panganga mkuu dume linajipodoa na kutoboa pua?
So sawa kabisa ila nyinyi ndio mnaplay part kubwa ya hao kuwa hivyo na ninyi pekee mnaoweza kuwabadili sasa mnafanyanye iliwao wabadilike ndicho nilichokuwa namaanisha?
 
Umesahau wanachonga mpaka nyusi" wanapaka lip shine
Mm kama mwanaume wakweli hua nachukizwa sana na tabia hiz

Wameshaanza kuvaa madera...... Ktk miziki yao wanayoita Singeli wacheza shoo wanavaa Madera...... Hii ni laana ama??
 
Mkuu ungeweka picha ya kusindikizia hiyo thread
 
Wanaboa sana hao wanaojichubu,kuvaa modo na kuacha matako wazi
Hata nyie wanawake pia kuvaa modo pia ni ujinga usitetee ujinga eti kwa sababu we mwanamke,unaonesha mauongo yako barabarani kwa kila mwanaume ili iweje? kama unauza sema watu wananunue!!
 
umewasahau wavaa Chen, wapiga tattoo, wapaka marashi. Mwanaume anatumia roll-on, lotion au mafuta mazito tu.
Kuna tatizo gani kujipulizia marashi/cologne/perfume/body spray?
 
Tena wanaboa sana ndio maana siku hz bei ya vipodozi na modo imepanda maana watumiaji na walio na uhitaji ni wengi.
Yanatuongezea gharama za maisha tu mxieeew, mi nikikutana na wa dizaini hiyo ht salamu yake siitikii.
Woiiii.....Anakurushia pesa tuu tayari ushalegea..
 
Hata vibint vyenyewe navyo micharuko mitupu, sasa sijui familia za kizazi kijacho zitakuwaje. Mama mcharuko, baba mpaka poda na mvaa nguo za kike, mtoto...
Aisee mimi huwa najiuliza sana...Kizazi kijacho sijui sijui itakuwaje....Baba muhuni huni mama mcharuko...mtoto atakuwa kituko
 
Sawa mwanamke wa mikoani!
Mwanamke wa mkoani ana baraka zote za mungu,ole kwa wanaume wa Dar wanaojichubua,kurembua macho,kupiga selfie na fimbo ndefu,kuvaa milegezo,kupiga robo bao,kusuka nywele kama wadada,kuvaa mashati ya vitambaa vya khanga na kuuza tigo!!.......amen amen nakumbia tayari laana iko juu yao!
 
Back
Top Bottom