Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?

Ukiwaona wa hivyo tema mate chini, piga alama ya msalaba kisha endelea na safari zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amina katekista.


[emoji817]
 
Kamwe Sitakaa na Michunusi Usoni Sitaacha kuogea Sabuni Kama Deto na Shower Gel eti kisa Mwanaume Never napenda kuwa Smart!
Hujaambiwa uache kuogea sabuni nzuri na manukato ya kutosha,no,ameuliza kwanin mnapenda kutoga masikio mkaona haitoshi mmeamua kutoga na pua,aiseee hivi wanaume wa dar mna matatizo fan?
 
Wameshaanza kuvaa madera...... Ktk miziki yao wanayoita Singeli wacheza shoo wanavaa Madera...... Hii ni laana ama??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you made ma day wallah
 
Jitu Limeingia katika Jukwaa la Urembo halafu lina Pretend kuwatukana watu wanaoishi Dar es Salaam Tanzanians hatujielewi.
Mbona kama huu uzi umekugusa sana,kama kuna kaukweli hebu jaribu kubadilika,hayo mambo waachie kina James
 
wanawake mnawapenda wanaume wa namna hiyo ndio maana wanapenda kuvaa hivyo...wakateni muone kama wataendelea kuvaa.
 
Wamepoteza kujitambua
Hawajajifunza kanuni za uanaume kutoka kwa wanaume wengine
Hivyo wamejifunza kutoka kwa wanawake na mashoga kama ma role model wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…