NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
- Thread starter
- #21
Muhidin Cheupe tulimaliza intake moja std7 Arusha mimi nilikuwa Uhuru primary yeye alikuwa Kaloleni Arusha nikija Arusha namtafuta tujadili uzee wetu.Ana mtoto wake naye yuko tasnia ya michezo mwenye contacts zake ani inbox december hii nakuja Arusha vijana wa siku hizi wanaita R ChugaWachezaji wapo wengi sana wala huwezi kumaliza kuwataja, wapo waliocheza tu kwa muda mchache na wapo waliocheza muda mrefu.
Labda useme kila Mtu amtaje Mchezaji aliyevutiwa nae na aulizie alipo ili kam kuna mwenye taarifa alete.
Muhidini Cheupe tunapishana naye sna huku kwenye viunga vya Arusha.
Mimi binafsi natamani kujua alipo Sunday Juma, ingawa kiukwelisijui hata anafananaje ila alinivutia kwa kusikiliza tu redioni anavyokipiga akiwa Simba enzi hizo..