NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
- Thread starter
-
- #21
Muhidin Cheupe tulimaliza intake moja std7 Arusha mimi nilikuwa Uhuru primary yeye alikuwa Kaloleni Arusha nikija Arusha namtafuta tujadili uzee wetu.Ana mtoto wake naye yuko tasnia ya michezo mwenye contacts zake ani inbox december hii nakuja Arusha vijana wa siku hizi wanaita R ChugaWachezaji wapo wengi sana wala huwezi kumaliza kuwataja, wapo waliocheza tu kwa muda mchache na wapo waliocheza muda mrefu.
Labda useme kila Mtu amtaje Mchezaji aliyevutiwa nae na aulizie alipo ili kam kuna mwenye taarifa alete.
Muhidini Cheupe tunapishana naye sna huku kwenye viunga vya Arusha.
Mimi binafsi natamani kujua alipo Sunday Juma, ingawa kiukwelisijui hata anafananaje ila alinivutia kwa kusikiliza tu redioni anavyokipiga akiwa Simba enzi hizo..
Muhidini nadhani ukifika hata pale Sheikh Amri Abeid Satdium ukipata Wahusika wanaweza kuwa na taarifa na hata contact zake.Muhidin Cheupe tulimaliza intake moja std7 Arusha mimi nilikuwa Uhuru primary yeye alikuwa Kaloleni Arusha nikija Arusha namtafuta tujadili uzee wetu.Ana mtoto wake naye yuko tasnia ya michezo mwenye contacts zake ani inbox december hii nakuja Arusha vijana wa siku hizi wanaita R Chuga
Kinanda Costantine?🤔Madata Lubigisa
George Masatu
Hussein Amani Masha
Amour Aziz
Innocent Haule
Fikiri Magoso
Godwin Aswile
Jimmy Moredi
Simon Mwakuna
Kimanda Constantine
William Fanibula
Kassim Mwajeke
Celestine Sikindembunga
Wilfred Njau
Bahati Mwaipopo
Robson Simon
Elisha John
Oswald Morris (super center forward)
Mponjoli -Rungwe Sec
Monti-Kipoke Sec
wile martin mara ya mwisho nilimuona mbeyaSteven mapunda GARINCHA,yupo songea huko,wile martin sijui yupo wapi huyu