Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Baba Levo - huyu ni wa Kigoma, ni mfanyakazi wa Wasafi
 
Babylon - Kilosa ,Morogoro.

Alysaed - Morogoro

Abood - Morogoro ,Msamvu.
 
Achimwene tajiri mtoto wa Chunya.

Mabasi yake ya Achimwene ukienda kukata tiketi ya kesho siti zimeshajaa

Baada ya kupiga maokoto mwisho mwaka kala bata na mtoto mzuri kutoka jiji la matapeli Dar

Wiki 2 mrembo yuko Mbeya anakula nauli zetu tulizomchangia Achimwene
Huyo demu sio yule anayechukiwa na Yanga sasa hivi 😁
 
7B46C4C0-505E-4DBF-B1C0-ACF03372A0D1.jpeg
 
Sawa ,, pale iringa ukiachana na warabu wakina Asasi na wakina M.T huwel

Kuna mwamba mmoja anaitwa

MZALENDO

Naye siyo mnyonge hata kidogo

Afu kuna huyu wanamwita

KAUNDAMA

naye kwakweli anajitahidi m
 
ili mtu uitwe TAJIRI, ni lazima uwe na MALI zenye THAMANI kuanzia DOLA MILLIONI MOJA za KIMAREKANI na kuendelea.($1M+)
 
Kwa songea OTTAWA huyu mwamba jeshi la mtu mmoja huyo feo kuna mikono ya wanasiasa kibao pale ila huyu OTTAWA INGEKUWA ANA MENEJIMENT NZUR NA MAGUFUR ASILETA SIASA MBOVU KWA HUYU MWAMBA NAZAN HUYU NDIO ANGESHIKA NYANDA ZA JUU KUSINI SIO MBEYA WALA NJOMBE JAMAA ANAJIWE JAMAA ANA MASOKO MATATU NYUMBA 650 ZOTE ZA VIWANGO TUACHE HAYO ANA GHOROFA NANE VIWANJA TOWN PENYEWE AMEPASHIKA NAKUMBUKA ZAMAN ALINUNUA BUS AINA YA SCANIA 8 KWA PAMOJA AKAWA ANAPIGA ROUTE DAR SONGEA NI BURE SIKU SABA VIPI KUNA TAJIR ANAWEZA FANYA HIVYO AFU NI MZAWA WA HAPAHAPA SONGEA
Duuh
 
2010 nilikuwa dereva wa hayo mabasi na tuliyatoa sauth kupitia border ya mbeya mpaka songea, kuhusu nyumba hata kesho tukienda songea nakuonesha moja baada ya nyingine coz ni mtu wa jiran sana na huyu mwamba namfaham nje ndani kuanzia watoto wake nyumban kwake mkewake nk mpaka chumba anachoifadhia pesa mpaka chakula anachotumia na ni muda gan analala na muda gan anaamka, sio hayo tu mpaka watu waliomtapeli bilion mbili na kusababisha kushake kidogo kiuchumi tuje kwa feo nimefanya kaz kwake hom kwake miaka mi tano namjua nje ndani mpaka hawara zake kwahy ninaposema kitu huwa na udhibitisho navyo
Duuh
 
Back
Top Bottom