Hao Wanamuziki wa Congo wote break yao kuna Don wa Ki Ivory coast anaishi Paris anaitwa Hemed Bakayoko, huyu ndio funga kazi, hii treasure.
Huyu ndio hakauki mdomoni mwa Boss ya Mboka Koffi Ollomide then ndio anakula shavu Samuel Etoo, hizi ni international level.
John Cheyo ni wa masaki Dar, nyumbani kwake si mbali sana na ubalozi wa South Africa au sea cliff apartments, huko Bariadi makolo wake alikuwa akiwatumia tu kupata ubunge, hadi Magu wameshawahi kumpa Ubunge, ana mdogo wake anaitwa Isaack Cheyo pia alikuwa anapewa ubunge wa Bariadi Magharibi naye ni mtu wa Dar maskani yake Kinyerezi tulikuwa tuna kijiwe chetu enzi hizo tunapiga lager za kutosha.Pedeshee Jimmy Chocolate aliimbwa na marehemu Ndanda kasovo, uyu bwana alikua na mishe gani mtujuze watu wa uko Dar tujue sisi watu wa Bariadi tulikua na Pedeshee JOHN CHEYO, A.K.A MAPESA
Huyu si aliuwawa kwenye ujambazi Morogoro?Juma Banatos Jb
Choki alikwenda Kamanyola band ile ilikuwa inapiga vila park ina mixer na Wacongo.Choki alikua mwanza akipiga live za kila weekend sijui kama asharudi mjini, Mwinjuma kuna kipindi alizamia msumbiji akawa anapiga huko baadae mwana tamtam akarudi bongo tena akatangaza kurudi lakini muziki wa dansi bongo ni kama ushakufa kabisa wanategemea kupiga live kwenye bar na hotels ambako hawalipwi vizuri na matamasha yao hayana mvuto tena hivo wanachezea hasara kila leo na mifarakano isiyoisha na wamebaki solo kama christian bella ndio wameng’ang’ania game japo wameachana na dansi ile sasa wametohoa wanaimba bongo fleva tu
Labda akina Mama John wa MbeyaHii nchi akunaga madeshee wanawake?.
Duu aisee hii kaliHuyo Abdul Mteketa alikuwa Mbunge wa Kilombero,Mkoani Morogoro na Sasa ni marehemu baada ya kuugua sana na mwisho wake aliishiwa mpaka alikosa pesa ya matibabu pale Muhimbili na kuomba msaada kwa mh.hayati JPM,
Huyo Charles Mtawali ni tajiri mmoja hivi aliwika na mpaka sasa nafikiri yuko na pesa maana alikuwa anaishi Kinondoni Stereo aliwahi kununua mtaa mzima pale,na mle ndani kwake parking ukiingia ilikuwa Kama yard magari ya kifahari akirudi ama mkewe akirudi ilikuwa hatumii gari ile ambayo amerudi nayo anatoka na nyingine.
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Manka Mushi nimekua nae mtaa 1, alikuwa mzuri sana aisee, sijui yupo wapi maana familia yao yote ilihama pale mtaani, mzee wake nae alikuwa si haba pesa ilikuwepoManka Mushi aliimbwa na mwinjuma Mumini Sana,jamaa Kuna wimbo anamtaja hata Mara tatu
Hapana, nadhani ni marehemu Nasma HamisReila rashid nadhani, taarabu ilikua juu hata sisi wabara wagumu wa kanda ya ziwa tukaijua taarabu.
Mkuu achana nae huyo, atakuwa bado umri mdogo sana, kuna hadi nyuzi humu kumuhusu HidayaAcha ubishi mzee mwenyeji wa Arusha wote hakuna asie mjua Hidaya tena alikua maarufu kwa jina la Hidaya Wa pepe kale kafariki mwaka jana , Hidaya ni miongon mwa wanawake matajiri wa Arusha enzi hizo, ameishi pia france ninavyo kueleza kafariki mwaka jana elewa hivyo
Alafu mi nazungumzia wimbo wa pepe kale Hidaya hiyo ya kwako ya Hedaya mimi siijui
Jamaa hujui kitu halafu mbishi, kubali kufundishwa uelewe.Ni neno moja tu Hidaya na hedaya. Labda tusaidie huyo mtoto amezaa naye mwaka gani ili upewe full kisa ndipo ujue wabongo wanajua kuchangamkia fursa. Sikatai kwamba huyo Hidaya wa Pepe Kale kama mnavyomuita alikuwepo, ila kilichoimbwa kwenye wimbo sio Hidaya mwanamke. Ila wabongo kwa kuchangamkia fursa mko vizuri. Stori ndefu kidogo na muda hautoshi.
Jack Pemba ni mshamba wa juzi tu alivamia jiji kwa pupa na ela za upigaji Uingereza.Kiboko yao ni Jack Pemba
Sawa ngoja ntafute nauli ya treniNiko madale sahv...
Karibu
Ova
Umeifuatili hii thread au umerukia kucomment tu?Yule Ahmed Bakayoko ni nani? Wakongo wengi wanamtaja katika nyimbo zao,
Isack Cheyo Mzee wa Casino!John Cheyo ni wa masaki Dar, nyumbani kwake si mbali sana na ubalozi wa South Africa au sea cliff apartments, huko Bariadi makolo wake alikuwa akiwatumia tu kupata ubunge, hadi Magu wameshawahi kumpa Ubunge, ana mdogo wake anaitwa Isaack Cheyo pia alikuwa anapewa ubunge wa Bariadi Magharibi naye ni mtu wa Dar maskani yake Kinyerezi tulikuwa tuna kijiwe chetu enzi hizo tunapiga lager za kutosha.
Wimbo wa Pepe KaleUnaujua ule wimbo
Nimepoteza kipenzi changu hapa tanzaniaaa[emoji445]
Nimepoteza mkanda wa kiuono[emoji445]
Nitarudii kwa Hidayaa[emoji445] hidayaaa hidayaaa[emoji445]
Unaambiwa Hidaya alikua ni mrembo vibaya sana enzi za uhai wake akiwa kijana