Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
Hao Wanamuziki wa Congo wote break yao kuna Don wa Ki Ivory coast anaishi Paris anaitwa Hemed Bakayoko, huyu ndio funga kazi, hii treasure.
Huyu ndio hakauki mdomoni mwa Boss ya Mboka Koffi Ollomide then ndio anakula shavu Samuel Etoo, hizi ni international level.
Unamjua DIDIE KINWANI ? CHACHU OMBARA JE?? Hao nao naskia wana mpunga balaa na koffi haachi kuwataja