Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Huyu si aliuwawa kwenye ujambazi Morogoro?
polisi walimpelekea golori za kutosha, ilikuwa ni kwenye tukio la ujambazi mitaa ya morogoro. kitambo sana hatunae duniani.

huyo jamaa alikuwa mtu wa karibu sana na cheaf kiumbe.
 
Ben mulokozi mtu wa watu huyo jamaa , sema sasa ukichanganya na sifa za kihaya akienda kijijini kwao anakuwa na msafara wa pikipki na hiace🤣🤣...
Ila ni mjasiriamali mkubwa sana hasa kwenye kilimo
 
Baraka kapuya full boss......hivi huyu fikiri madinda ndiye mmiliki wa daladala za enzi zile madinda trans?
baraka kapuya alikuwa anatajwa sana na wanamuziki wa kundi la akundo sound.

mmiliki wa akudo alikuwa ni prof. juma kapuya ambaye wakati fulani aliwahi kuwa waziri wa elimu na mbunge.

inawezekana huyu baraka ni family member au mtoto wa mzee kapuya. wajuzi wa mambo watajazia nyama.
 
Ben mulokozi mtu wa watu huyo jamaa , sema sasa ukichanganya na sifa za kihaya akienda kijijini kwao anakuwa na msafara wa pikipki na hiace[emoji1787][emoji1787]...
Ila ni mjasiriamali mkubwa sana hasa kwenye kilimo
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 

Nimefuatilia vya kutosha, nimeuliza swali nje ya maada najua humu watu wa burudani wanajua
Ungefuatilia vya kutosha ungeiona hiyo post hapo juu imefafanuwa vya kutosha.
 
Ni myahudi huyo jamaa na anadeal zaidi na madini adimu na hatari

mwenye asili ya kihayudi ni moise katumbi, mmiliki wa team ya mpira TP mazembe.

ila huyu bwana mdogo abed achour ni mwarabu mwenye asili ya Lebanon.

familia yake ilihamia congo miaka 50 iliyopita. yeye mwenyewe amezaliwa drc katikati au mwishoni mwa miama ya 80.

ndani ya congo, familia yake imewekeza ktk sector mbalimbali ikiwemo transportation, manufacturing na hospitality.

hapo kwenye hospitality wanamiliki hotel kubwa sana kinshasa. kiufupi dogo ni Don kwelikweli.

akina fally, ferre, innoss'B, heritier wakikutana na huyo dogo, wanahisi ni kama vile wamekutana na na tajiri namba moja duniani billionaire Elon Musk.
 
Mkuu Mboni alitisha nashindwa kuamini kama ndio huyu Mboni wa sasa kwenye runinga au yule wa fally Ipupa ni Mboni mwingine, sidhani kama siku ile alienda kulala kwao au kwake..
hivi ni kweli mboni alizaa na mcheza kandanda maarufu wa west africa, gorge weah/samwel eto?.

hizi habari zilikuwa zinazungumzwa sana miaka yetu ile.
 

Nilikua naangalia kila mwanamuziki mkubwa wa Congo anamuimba kuja kufuatilia ni bilionea na nadhani congo mapedeshee hua wana ukwasi wa maana kuliko kwetu ambapo mtu anavuma miaka kidogo anapotea
 

Baraka ni mtoto wa mzee kapuya na kipindi kile ndio alipewa mikoba ya kuisimamia Akudo hivo pesa ya uendeshaji ilitoka kwake na akishakupitisha pale basi umekula shavu tayari
 
Ni mtoto wa Kapuya huyo Baraka! Akudo ni majina ya watoto wa Kapuya pia! A= Amani! Ku ni Kulwa na Do ni Dotto! Ana watoto mapacha huyu Mzee wa Urambo!
 
smarte_r mkuu kuna Pedeshee mmoya hivi , anaitwa Merry Borabuu,najua nimekosea jina lake,yuko wapi huyu jamaa?? Alikuaga anamiliki vituo vya mafuta vya TIOT, TRA walikula kichwa vituo vyote vilifilisiwa, nasikia alikua anawala sana wasanii hasa wanaume
 
Kuna mdau alimuulizia Hemedi Bakayoko ambae alikua tajiri mkubwa Ivorycoast akimiliki viwanda na alikua waziri mkuu wa nchi yake, Na Omary Bongo ni Rais wa Gabon na Baba yake alikua Rais pia walianza bata kitambo na wacongoman waliitwa sana kwenye nchi zao na kulipwa pesa nyingi, lakini bakayoka alikua na Ukumbi paris ambapo akina koffi na wanamuziki wengine wengi wamepiga pale sana hivo anaheshima ya kipekee sana kwenye burudani hasa upande wa wazungumzaji wa kifaransa
 
Salum alikua na duka la nguo kariakoo kabla hajawa maarufu,kuna ndgu yng alikua na duka jirani na mama yake salum...sijui siku hizi yuko wapi
Yule mama mpaka miaka ya 2016 alikuwa na duka la kuuza tairi za magari mitaa ya Swahili na Twiga pale Kariakoo ila siku hizi simuoni.

Alikuwa na yule dogo mdogo wake Chicago kwa baba mwengine but siku hizi namuona huyo dogo tu kageuka winga wa spare.
 
hata msanii innos b kamuimbia nyimbo inaitwa achour aliitoa 2019
 
duh..umenirudisha mbali sana mzee. nitaandika machache ninayoyakumbuka kuhusu huyo jamaa.

well, merey balhabou alikuwa ni mmiliki wa timu ya mpira ya moro united ya morogoro.

pia alikuwa ni mjasiriamali mkubwa tajiri aliyewekeza ktk sector ya nishati. ana undugu wa damu na tajiri namba moja nchini, salim bakhresa, nahisi anamuita mzee bakhresa mjomba(sina uhakika).

huyu jamaa ni mfaidika mkubwa yale mabilioni ya aliyewahi kuwa rais wa libya muamar ghadaf aliyokuwa anayatuma hapa tz ili kuwekeza ktk miradi mbalimbali.

yeye na wenzie waliokuwa kwenye system wakati huo ndio walikuwa wanayapiga yale mabilioni.

alifilisika baada ya kuwa na madeni mengi aliyoshindwa kulipa. pale tabata tioti zilizopo ofisi za azamtv, ilikuwa ni yard yake ya malori. alimuuzia mjomba wake mzee bakhresa ili kupata fedha ya kulipa madeni aliyokuwa anadaiwa.

kwa sasa sidhani kama yupo nchini, nahisi anaishi dubai au south africa.

hayo mengine sijui ya kulawiti wananume wenzie mimi siyajui, nilikuwa nayasikia tu. nawaachia wajuzi wa mambo watiririke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…