Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefuatilia vya kutosha, nimeuliza swali nje ya maada najua humu watu wa burudani wanajuaUmeifuatili hii thread au umerukia kucomment tu?
baraka kapuya alikuwa anatajwa sana na wanamuziki wa kundi la akundo sound.Baraka kapuya full boss......hivi huyu fikiri madinda ndiye mmiliki wa daladala za enzi zile madinda trans?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ben mulokozi mtu wa watu huyo jamaa , sema sasa ukichanganya na sifa za kihaya akienda kijijini kwao anakuwa na msafara wa pikipki na hiace[emoji1787][emoji1787]...
Ila ni mjasiriamali mkubwa sana hasa kwenye kilimo
Yupo masasi choka mbaya
hamed bakayoko is no more, alifariki last year kwa Covid . koffi olomide aliomboleza sana msiba wake. yeye na koffi walikuwa ni marafiki wa karibu sana.
bakayoko alikuwa ni raia wa ivory coast. a rich politician, music promoter, financiar and prominent figure ktk nchi za francophone.
nilikuwa nafatilia sana habari zake wakati angali hai.
View attachment 2273735
Ungefuatilia vya kutosha ungeiona hiyo post hapo juu imefafanuwa vya kutosha.Nimefuatilia vya kutosha, nimeuliza swali nje ya maada najua humu watu wa burudani wanajua
Ni myahudi huyo jamaa na anadeal zaidi na madini adimu na hatari
hivi ni kweli mboni alizaa na mcheza kandanda maarufu wa west africa, gorge weah/samwel eto?.Mkuu Mboni alitisha nashindwa kuamini kama ndio huyu Mboni wa sasa kwenye runinga au yule wa fally Ipupa ni Mboni mwingine, sidhani kama siku ile alienda kulala kwao au kwake..
mwenye asili ya kihayudi ni mois katumbi, ila huyu bwana mdogo abed achour asili yake ni lebanon.
familia yake ilihamia drc yapata miaka 50 iliyopita ikitokea lebanon. yeye mwenyewe amezaliwa drc mwishoni mwa miama ya 80.
ndani ya congo, familia yake imewekeza ktk sector mbalimbali ikiwemo transportation, manufacturing na hospitality. hapo kwenye masuala ya hospitality wanamiliki hotel kubwa sana kinshasa. kiufupi dogo ni Don kwelikweli.
akina fally, ferre, innoss'B, heritier wakikutana na huyo dogo, wanahisi ni kama vile wamekutana na na tajiri namba moja duniani billionaire Ilon Musk.
baraka kapuya alikuwa anatajwa sana na wanamuziki wa kundi la akundo sound.
mmiliki wa akudo alikuwa ni prof. juma kapuya ambaye wakati fulani aliwahi kuwa waziri wa elimu na mbunge.
inawezekana huyu baraka ni family member au mtoto wa mzee kapuya. wajuzi wa mambo watajazia nyama.
Ni mtoto wa Kapuya huyo Baraka! Akudo ni majina ya watoto wa Kapuya pia! A= Amani! Ku ni Kulwa na Do ni Dotto! Ana watoto mapacha huyu Mzee wa Urambo!baraka kapuya alikuwa anatajwa sana na wanamuziki wa kundi la akundo sound.
mmiliki wa akudo alikuwa ni prof. juma kapuya ambaye wakati fulani aliwahi kuwa waziri wa elimu na mbunge.
inawezekana huyu baraka ni family member au mtoto wa mzee kapuya. wajuzi wa mambo watajazia nyama.
Yaa,jamaa kaupiga mwingi.Kuandaa list hii inabidi upitie nyimbo zote zilizohit enzi zile.Safi sanaKaupiga mwingi Sana sijui article yake imechukua siku ngapi kuiandaa maana nadhani ilimlazimu apate kwanza playlist zote azisike akinasa jina ana note Pembeni
Yule mama mpaka miaka ya 2016 alikuwa na duka la kuuza tairi za magari mitaa ya Swahili na Twiga pale Kariakoo ila siku hizi simuoni.Salum alikua na duka la nguo kariakoo kabla hajawa maarufu,kuna ndgu yng alikua na duka jirani na mama yake salum...sijui siku hizi yuko wapi
hata msanii innos b kamuimbia nyimbo inaitwa achour aliitoa 2019drc ndio nchi inayoongoza kuwa na mapedeshe maarufu wanaotajwa sana katika nyimbo za rhumba.
nje ya umaarufu wao, watu hawa ni matajiri kwelikweli. wameendelea kabaki ktk himaya zao za utajiri kwa muda mrefu.
hapa nazungumzia majina ya watu wazito kama tchatcho mbala, moise katumbi chapwe , mamaa tabou fatou na wengineo.
miaka ya hivi karibuni pale kinshasa ameibuka kijana mmoja wa kiarabu mwenye asili ya lebanon anayekwenda kwa jina la abed achour.
abed ni kijana tajiri sana, amekuwa msaada mkubwa ktk kuwapromote na kuwawazesha baadhi ya wanamuziki vijana wa mziki wa rhumba.
jina lake linaimbwa sana siku hizi.huyu hapa ktk video.
View attachment 2273822
duh..umenirudisha mbali sana mzee. nitaandika machache ninayoyakumbuka kuhusu huyo jamaa.smarte_r mkuu kuna Pedeshee mmoya hivi , anaitwa Merry Borabuu,najua nimekosea jina lake,yuko wapi huyu jamaa?? Alikuaga anamiliki vituo vya mafuta vya TIOT, TRA walikula kichwa vituo vyote vilifilisiwa, nasikia alikua anawala sana wasanii hasa wanaume