kumbe jack umeme ndio huyo!?.Dada moja mnyakyusa anauza spea za magari pale ilala yes anafanya vizuri kwenye business yake na huchukulia spea zake Dubai, wasanii si unajua wao kitonga tu wanakurusha
Juma Kapuya alikuwa ni mbunge wa Kaliuwa Tabora, amewahi kuwa waziri wa wizara ya kazi, jamaa ni Profesa pia na ndiye mmiliki wa Akudo band.Huyu Papa msofe alikuwa anaishi upanga. , Walinzi wamasai kwake, kuna mdau umemsahau , juma kapuya akudo wamemtaja sana
Mancity car wash na Africa Sana Cristian Bella kayataja Sana hayo maeneoNadhan Hussein makabureta unamsema alianzia magomen wasanii walikuwa wanapeleka magar yao kwake enz hizo kutokana na kaz yake na kupenda ukitonga kwa wasanii wakaanza kumrusha kwenye nyimbo zao
Kuna car wash maarufu pale sinza kwa jina la MAN CITY CAR WASH Napo wasanii Kama akina Christian Bella huenda kuosha magari yao hapo Kuna wimbo kaitaja car wash hi i nadhan ule wimbo wa Rudi
Huyosmarte_r mkuu kuna Pedeshee mmoya hivi , anaitwa Merry Borabuu,najua nimekosea jina lake,yuko wapi huyu jamaa?? Alikuaga anamiliki vituo vya mafuta vya TIOT, TRA walikula kichwa vituo vyote vilifilisiwa, nasikia alikua anawala sana wasanii hasa wanaume
Jina lake simkumbuki mkuu,ila ubunge aliupata awamu ya pili ya Kikwete...Wanawake! Unaupata Ubunge wa Kuteuliws na une Mume kama huyo Zimemtembelea, halafu unaishia kutembea na Dereva Wako!!
Yuko wapi' Sasa?
Alikuwa anaitwa Mbunge nani?
Huyo alikuwa mtu wa moro, hata zile ngumi alipigwa Mr nice na dudubaya, wanasema walikuwa wanamgombania,🐱enzi hizo kuna miss moro alifia kwakeHuyu Papa msofe alikuwa anaishi upanga. , Walinzi wamasai kwake, kuna mdau umemsahau , juma kapuya akudo wamemtaja sana
Huyo
Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.Hata Le Mutuz naye anatajwatajwa sana na mabendi
Balhabou hana undugu na azamWe jamaa kweli born town,unajua mishe nyingi sana za Jiji la Amos Makala! Nakupa salute! Sijawahi jua kama Merey Balhabou ana undugu na Mzee Azam!
Hawa watoto wa mjini,aka mapedeshee watarudi kwa kasi sana kipindi hiki! Jack Pemba alikimbilia Uganda awamu ya Tano,nasikia karudi town!
Yupo mlevi tu analewa sana Juliana pub na bar nyingine za Mbezi kule Target, Amsterdam, Jangwani Sea breeze etc..We jamaa kweli born town,unajua mishe nyingi sana za Jiji la Amos Makala! Nakupa salute! Sijawahi jua kama Merey Balhabou ana undugu na Mzee Azam!
Hawa watoto wa mjini,aka mapedeshee watarudi kwa kasi sana kipindi hiki! Jack Pemba alikimbilia Uganda awamu ya Tano,nasikia karudi town!
Umeupiga mwingiNimekuelewa ila nimekurudisha nyuma kwanza ukumbuke rhumba lilianza kunoga enzi za Silent huku Mustahiki meya wa Jiji Allan Mulumba Kashama akirap kama Titinaa Alcapone au Robert Wunda Ekokota wa Wenge Musica Bcbg 4 × 4 kipindi hicho Wenge ndio wametowa nyimbo yao ya Kien Bunjee na Saplaisi Kapangala.
Jackpemba usani hajaanza leoWe jamaa kweli born town,unajua mishe nyingi sana za Jiji la Amos Makala! Nakupa salute! Sijawahi jua kama Merey Balhabou ana undugu na Mzee Azam!
Hawa watoto wa mjini,aka mapedeshee watarudi kwa kasi sana kipindi hiki! Jack Pemba alikimbilia Uganda awamu ya Tano,nasikia karudi town!