smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
- Thread starter
- #381
kumbe jack umeme ndio huyo!?.Dada moja mnyakyusa anauza spea za magari pale ilala yes anafanya vizuri kwenye business yake na huchukulia spea zake Dubai, wasanii si unajua wao kitonga tu wanakurusha
huwa nasikia jina lake kwenye nyimbo za singeli. mzee wa bwax huwa anamtaja sana.