HahahahHawa ndio wamesababisha bond mahakamani wanataka mtumishi wa serikali.
Nlipiga San mishe hizoUmenikumbusha mbali, mbali, Mandela baada ya kupata Urais ilikuwa Telkom ukiomba huduma ya simu ndani ya wiki moja unaunganishiwa.
Kulikuwa na jamaa yupo Kuwait Wahindi wanapanga foleni kuanzia asubuhi mpaka usiku non stop mnawaunganisha kuongea na familia zao India kisha yeye anawatumia pesa kupitia western union na wala hamjuwani wala hata hujui anafananaje.
Ndama alianza kuuza magari lumumba udalali
Lumumba pale kuna ofisi kubwa,kutengeneza na kupata network rahisi
Ova
Juma nyamiela alikufa pesa imekata,alikua mpka na mabasiKuna mtu alikuwa anaitwa Juma Ngida huyu alikuwa mtoto wa mjini kweli kweli na hela ilikuwepo...huyu ndio mtu wa kwanza kuingiza hizi gari Rav 4 mpya nchini ..kipindi mererani inaanza kuchimbwa jamaa akaanza safari akaenda kufika arusha wakamwambia mzee hiki kipindi cha mvua saa hivi barabara ya merelani gari hazipitiki kwa hizi gari za kifahari ujamaa pale pale akatoa mpunga akanunua land cruiser mpya impeleke ...yaan kama ananunua shati vile .ila amefariki kwa sasa aliimbwa mpaka na dudu baya kwenye nyimbo yake ya nidhamu mana jamaa ndio alikuwa anajiita don king minyamihela .
Huyu abdalah nyumba nyingi,yeye alikua na mishe ganiNimekumbuka mbali sana NIMEONA JINA LANGU hapo,Pia nimeakumbuka akina HASSAN MIUNDOMBINU,ALLY KILEO,KIZAIZAI SUPER TALL,KIZA KINENE,ABDALLAH NYUMBA NYINGI😀Halafu sio wote wanaotajwa kwenye band walikuwa wana pesa wengine walikuwa kawaida tu hasa vijana wa kinondoni
Ona wanavyomba omba barabarani si mapenzi yao,si mapenzi yaoooo!!!mirayesa mbombo.
Walioharibu entry viza UK ni Wazanzibar baada ya uchaguzi wa 1995 na Maalim Seif kuporwa ushindi wengi waliingia UK na kuomba political Asylum seeker kwa complain ya wafuasi wa CUF kunyanyaswa na CCM.Lyatonga si ndy alituchomesha akawaribia wabongo viza UK
Entry
Bandika bandua watu walizipiga sana
Ova
Acha uongo. Hamed Bakayoko alikuwa waziri mkuu wa Ivory Coast hakuwa akiishi Paris.. pia tayari ni marehemu zaidi ya mwaka. Ushabiki wa vijiweni usilete hapa.Hao Wanamuziki wa Congo wote break yao kuna Don wa Ki Ivory coast anaishi Paris anaitwa Hemed Bakayoko, huyu ndio funga kazi, hii treasure.
Huyu ndio hakauki mdomoni mwa Boss ya Mboka Koffi Ollomide then ndio anakula shavu Samuel Etoo, hizi ni international level.
Wanamuziki wa Congo wanakwama wapi? Mbona wanaonekana wana hela ila bado wana ishu za kusifia sifia watu ovyo kama vile machawa?mwenye asili ya kihayudi ni moise katumbi, mmiliki wa team ya mpira TP mazembe.
ila huyu bwana mdogo abed achour ni mwarabu mwenye asili ya Lebanon.
familia yake ilihamia congo miaka 50 iliyopita. yeye mwenyewe amezaliwa drc katikati au mwishoni mwa miama ya 80.
ndani ya congo, familia yake imewekeza ktk sector mbalimbali ikiwemo transportation, manufacturing na hospitality.
hapo kwenye hospitality wanamiliki hotel kubwa sana kinshasa. kiufupi dogo ni Don kwelikweli.
akina fally, ferre, innoss'B, heritier wakikutana na huyo dogo, wanahisi ni kama vile wamekutana na na tajiri namba moja duniani billionaire Elon Musk.
Lemutuz ana akili nyingi ila inaonekana ana stress za kufika uzeeni bila kuwa na mali kulingana na hadhi ya familia yake pamoja na yeye kuishi marekani miaka 30Le Mutuz licha ya ujinga ulimjaa kichwani ni baharia, miaka ya 80's na 90's bahari hapa mjini ni flag kubwa.
Kwahiyo usimchukulie powa Le Mutuz yumo naye katika watoto wenye Dar yao, ni kwamba tu ameharibikiwa akili uzeeni na kuingia kwenye uchawa ndio maana watu wanamdharau.
Umekurupukia wapi unatoka chooni kukata kimba bila kuchamba?Acha uongo. Hamed Bakayoko alikuwa waziri mkuu wa Ivory Coast hakuwa akiishi Paris.. pia tayari ni marehemu zaidi ya mwaka. Ushabiki wa vijiweni usilete hapa.
Wana pesa mno,magari aliyonayo koffi olomide, fally na JB mpiana wasanii wetu hawana,hao jamaa Wana ma Bentleys,Ferrari,rolls Royce, mtu Kama JB mpiana alikuwa na Mercedes Benz mwaka 1999 hukoWanamuziki wa Congo wanakwama wapi? Mbona wanaonekana wana hela ila bado wana ishu za kusifia sifia watu ovyo kama vile machawa?
Hahahahahah we jamaa kuwa serious. Yaani Askofu wa kanisa aimbwe na FM Academia?Hivi yule jamaa FM academia walikuwa wakimuimba wanamuita Askofu wa kwanza. Alikuwa ni nani na kwa nn alijiita askofu? alikuwa ni askofu kweli au alikuwa na uhusiano gani na kanisa
Usimpinge Sana huenda Bakayoko alikuwa na nyumba Paris, mtu Kama Mobutu alikuwa Rais wa Zaire wakati at the same time anaishi France,Belgium,uswizi,Monaco nk, hata wanae leo wanaishi Nchi mbili au tatu wakati mmoja mfano nzanga alikuwa waziri congo ila anaishi Congo,Washington na Rabat MoroccoAcha uongo. Hamed Bakayoko alikuwa waziri mkuu wa Ivory Coast hakuwa akiishi Paris.. pia tayari ni marehemu zaidi ya mwaka. Ushabiki wa vijiweni usilete hapa.
Usichanganye mambo. Tchatcho ni aina ya muziki uliobuniwa na Koffi enzi hizo. Akawa anaupromoti kwenye nyimbo zake. Ila Chacho anayeongelewa ni mtu kwa jina la Chacho Mbala.huyu pedeshee ni waukweli kitambo sana.
nilianza kumsikia kwenye nyimbo za Kofii miaka ya tisini huko,Nyimbo kama Mico,,Kofi alikua akiimba anaanza na jina la Chaaaachoooo.
Mkuu alikuwa na uhusiano gani na kanisa au aliamua kujiita tu hivyoHahahahahah we jamaa kuwa serious. Yaani Askofu wa kanisa aimbwe na FM Academia?
Huyu alikua mtoto wa kigogo mbunge wa Kisarawe enzi hizo. Mdingi wake licha ya kua Mbunge alishawahi kua kiongozi mkubwa wa bandari ya DSM pale. Na ana mjengo mkali uingereza kuna baadhi ya wanawe wanaishi huko.. Mzee Janguo alikua na ukwasi saaaana..Wakina IDD JANGUO nilikuwa nawaskia sana ali choki akiwataja