Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Wanapewaga bahati sana ya kupata pesa....

Ova
 
Hawa jamaa wasiojua kusoma na kuandika uwaga wajanja wajanja sana, ila nafikiri hicho ni kipaji fulani mungu kawapatia. Kuna jamaa tuko nae huku mamtoni pande za kwa Biden ni mtoto wa Kariakoo, jamaa hajui kusoma wala kuandika ila mayai anayatema utadhani muamerika na kazi anayofanya ni driver taxi. Sasa uwa najiuliza alipataje pataje viza??? Na yupo USA kitambo toka early 2000s. Ana familia na anaishi vizuri.. kimbembe aletewe barua lazima aniletee nimsomee na kuijibu lazima nimuandikie, jamaa ni mjanja mjanja sana huyo Kizai zai anasubiri.
 
Nasma Khamis
 
Daaah ndio malipo ya dhuluma hayo
 
Huyo PM ni Ariel Sharon alikuaga mkorofi zaidi
 
Kongulu alikufa kwa ule ugonjwa uliomuua Franco. Mobutu inasemekana alitaka kumfanya successor wake na ndio maana alimpenda, pia ndio angalau alikuwa na uwezo wa kurithi mikoba
 
Hah hah eh baada ya Mungu ni wewe achana na akina Nyoshi,wenyewe walikuwa hawaoni tabu kumsifia mtu maadamu awalambishe bia na ya supu asubuhi
 
Kwao Dodoma jamaa alikuwa dereva tu kaka ake tunashinda nae kijiweni ambapo ndo kwao, kwakweli inasikitisha sana, pamoja na umaarufu wote lakini njoo upaone nyumbani kwao sasa
Ila alimfaidi sana Aisha, wacha asiwe na kitu, Madinda trans.
 
Kuna mwamba mwingine alitikisa sana maeneo ya Kariakoo, alikuwa mmoja wa vijana wenye majina makubwa kwenye soko la Kariakoo mle ndani karibu na duka la RTC marehemu Ford,hadi maalimu Gurumo akiwa Sikinde alimwimba.
Huyo mzee Ford ndy baba yake
Shamsa Ford.. alikuwaga vzr kibiashara

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…