Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Usifanye masihara na mtu asiyejua kusoma na kuandika halafu amekulia mjini. Huwa wanajitahidi kuwa wajanja sana. Kuna jamaa nilifahamiana naye zamani alikuwa anafanya biashara ya madawa ya mifugo. Alikuwa anazijua dawa balaa tena yeye Wafugaji walikuwa wanapenda bidhaa zake (alikuwa hana duka ni mkono kwa mkono) kwa sababu walimchukulia ni msomi. Akiwa na bidhaa dawa mpya ananitafuta nimtafsirie matumizi kwa Kiswahili na mambo mengineyo kwenye bidhaa, hapo ananipanga nimuone labda ni Kingereza tu cha kwenye bidhaa ndiyo kinampa shida (kwa sababu mdomoni kuchanganya this na that yupo vizuri), akitoka hapo akienda kwa wafugaji hata wale wakubwa wanachukua bidhaa chapu. Siku moja ndiyo rafiki ananiambia jamaa kusoma na kuandika hajui, nilishangaa sana! Halafu alikuja kuoa Mwalimu wa shule ya msingi hahaaa!!
Wanapewaga bahati sana ya kupata pesa....

Ova
 
Hawa jamaa wasiojua kusoma na kuandika uwaga wajanja wajanja sana, ila nafikiri hicho ni kipaji fulani mungu kawapatia. Kuna jamaa tuko nae huku mamtoni pande za kwa Biden ni mtoto wa Kariakoo, jamaa hajui kusoma wala kuandika ila mayai anayatema utadhani muamerika na kazi anayofanya ni driver taxi. Sasa uwa najiuliza alipataje pataje viza??? Na yupo USA kitambo toka early 2000s. Ana familia na anaishi vizuri.. kimbembe aletewe barua lazima aniletee nimsomee na kuijibu lazima nimuandikie, jamaa ni mjanja mjanja sana huyo Kizai zai anasubiri.
 
Hayo mengine sawa, ila kuhusu kukosa umaarufu kwa mziki wa dansi napingana na wewe.

Mziki wa dansi ulikuja kukosa umaarufu baada ya kuvuma kwa bongo fleva kuanzia miaka ya 2010 hivi.

Kabla ya mwaka 2010 ilikuwa ni nusu kwa nusu, yaani mziki wa dansi na bongo fleva ulikuwa unachuana katika mashabiki.

Chuma kimeingia ikulu 2015 huku mziki wa dansi ukiwa hoi bin taabani.

Hilo ni suala la kawaida katika fasihi. Nafikiri tunakumbuka kuna kipindi miaka ya 2000 hivi taarabu ilikuwa juu kuliko bongo fleva, enzi za Hadija Kopa na yule mama sijui alikuwa naitwa nani mpinzani wa kopa.
Nasma Khamis
 
Kizai zai chokq mbaya anapanda boda boda saivi...kigambon nyumba aliuza baada yakumwuzia bmw mtoto wa wazir flan zenj ,bmw ilikua na gia box mbovu ikaamuliwa arudishe pesa akawa hana ndo akauza nyumbq yake kigamboni....kuandika wala kusoma hajui muda wote alikua anatembea na chawa wakusoma mesej zikiingia nakujibu
Daaah ndio malipo ya dhuluma hayo
 
Inasemekana ni mke wa waziri mkuu wa Israel yule aliyekuwa kwenye koma mda mrefu ndio aliingizwa mjini
Kutokana na wao kuja kimagumashi msala ukawa hauna nguvu sana kwa kuchafua reputation ya nchii

Pia kuna wakili mmoja ndio alikuwa nyuma ya kina msofe ku endooze stamp na signature
Currently huyu wakili alisha rudisha namba kwa sir GOd
Huyo PM ni Ariel Sharon alikuaga mkorofi zaidi
 
huyo jamaa jina lake lilitajwa sana na wenge BCBG katikati na mwishoni mwa miaka ya 90 kabla ya viongozi wa kundi hilo(jp mpiana na werrason)kutofautiana.

alikuwa ni mtoto kipenzi wa rais wa nchi hiyo mobutu seseseko. jina lake halisi ni Kongulu Mobutu, ila wanamuziki kwa kunogesha, walimpachika jina la sadam hussein(wenyewe wakitamka sadam sene) wakifananisha ushupavu wake na rais wa iraq sadam hussein baada ya kuwashinda wamerakani ktk vita ya desert storm iliyopiganwa miaka ya 90.

Kongulu aka "sadam sene" alikuwa very powerful and fearful enzi za utawala wa baba yake halafu bata boy sana.jiji la Kinshasa na viunga vyake vilikuwa kwenye himaya yake, hakuna aliyeweza kuleta vyoko mbele yake.alifariki mwaka 1998.

hapa JF kuna nyuzi kadhaa zinazomzungumzia,moja wapo ni hii hapa.unaweza kuipitia ili upate mawili matatu kumuhusu:Fahamu machache kuhusu special presidential division: Kikosi maalumu kilichomlinda Mobutu Seseseko enzi za utawala wake
Kongulu alikufa kwa ule ugonjwa uliomuua Franco. Mobutu inasemekana alitaka kumfanya successor wake na ndio maana alimpenda, pia ndio angalau alikuwa na uwezo wa kurithi mikoba
 
Siku moja nilikwenda Ngwasuma Heineken house, nilikuwa na katibu wa Wacongoman Tanzania, basi tulikula senene wa kutosha na mimi siku hiyo nilikuwa PDG, yule jamaa akawapa jina langu, basi nilivyokwenda kuwatunza nikashangaa wanalitaja jina langu halafu Nyoshi anasema baada ya Mungu ni wewe, kwakweli nilichoka aisee, hawa jamaa funga kazi.
Hah hah eh baada ya Mungu ni wewe achana na akina Nyoshi,wenyewe walikuwa hawaoni tabu kumsifia mtu maadamu awalambishe bia na ya supu asubuhi
 
Kwao Dodoma jamaa alikuwa dereva tu kaka ake tunashinda nae kijiweni ambapo ndo kwao, kwakweli inasikitisha sana, pamoja na umaarufu wote lakini njoo upaone nyumbani kwao sasa
Ila alimfaidi sana Aisha, wacha asiwe na kitu, Madinda trans.
 
Kuna mwamba mwingine alitikisa sana maeneo ya Kariakoo, alikuwa mmoja wa vijana wenye majina makubwa kwenye soko la Kariakoo mle ndani karibu na duka la RTC marehemu Ford,hadi maalimu Gurumo akiwa Sikinde alimwimba.
Huyo mzee Ford ndy baba yake
Shamsa Ford.. alikuwaga vzr kibiashara

Ova
 
Back
Top Bottom