Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Wa kawaida sana labda kwakuwa ana mshiko anawapa tips ndio maana anatajwa.
of course,kimuonekano ni wa kawaida sana.
halafu hata kiumri,kilomita zimesoma sana. kwa hapa kwetu umri wake ni rika la madam rita poulsen.

ila inaonekana enzi nzake za usichana alikuwa kisu.
View attachment 2394672
 
Abdul Mteketa ni kweli alifariki mkuu. Mara ya mwisho 2015 aligombea ubunge lakini hakupata nafikiri hilo pia lilichangia kuwa na mawazo maana alikuwa na rafiki yake naye maarufu Said Ntimizi walikuwa na kesi nyingi za madai.
Alikua na nyumba yake mitaa ya kiyongwire ifakara pale ,jina na maisha ya nyumbani kwao
 
Ho ng era
 
of course,kimuonekano ni wa kawaida sana.
halafu hata kiumri,kilomita zimesoma sana. kwa hapa kwetu umri wake ni rika la madam rita poulsen.

ila inaonekana enzi nzake za usichana alikuwa kisu.
View attachment 2394672
Huyu demu alikuwa jirani yake na Pepe Kalle,Pepe Kalle akamlea kama Binti yake kipindi hicho.
 
Kwenye Salama Na alijitahid sana kumawngushia mpira mshikaji wake juu ya upotevu wa zile fedha but it does'nt make any sense...Kuna bro mmoja alishinda BBA miaka ya 2007/08 aliitwa Richard the guys was humble very humble sio huyu Idriss....Nadhan baada ya upotevu wa hela jamaa ndio alipata somo vzr kuhusu wadada wa "mujini"
 

"Wadada wa mjini ni mashetani katika maumbo ya binadamu".
 
Unamsemea papaa king aliyekua anapenda kucheza pool table pale triple a..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…