Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Wa kawaida sana labda kwakuwa ana mshiko anawapa tips ndio maana anatajwa.
of course,kimuonekano ni wa kawaida sana.
halafu hata kiumri,kilomita zimesoma sana. kwa hapa kwetu umri wake ni rika la madam rita poulsen.

ila inaonekana enzi nzake za usichana alikuwa kisu.
View attachment 2394672
 
Abdul Mteketa ni kweli alifariki mkuu. Mara ya mwisho 2015 aligombea ubunge lakini hakupata nafikiri hilo pia lilichangia kuwa na mawazo maana alikuwa na rafiki yake naye maarufu Said Ntimizi walikuwa na kesi nyingi za madai.
Alikua na nyumba yake mitaa ya kiyongwire ifakara pale ,jina na maisha ya nyumbani kwao
 
Ho ng era
Ni kweli mkuu, miaka ya 90 na mwanzo wa miaka ya 2000 muziki wa Congo ulisumbua sana. Shukrani za pekee ni kwa Mulumba Kashama na bendi yake kipindi hicho akighani "mwenge mwenge daladala shilingi mia... " na kibinda nkoi yake, iliwaamsha akina Banza stone na Ali Choki (kisa cha mpemba) kuja na muziki wa dansi wa kizazi kipya.
Nao Clouds Fm wakaifufua taarabu iliyo kuwa imezimia... Kwa mbaali unakasikia kakionjo ka Onyango "wewe mambo iko huku... " huku kamsemo ka "taarabu imo humo?" kakivuma kuchagiza utamu wa taarabu.
Nashindwa kuisahau siku niliyo tembea kwa mguu kutoka Msasani club hadi Temeke mwisho, huku tukiimba wimbo wa Profesa Jay,kwa mara ya kwanza amepafomu pale beach, muandaaji Taji Liundi.
Miaka imeenda sana.
 
of course,kimuonekano ni wa kawaida sana.
halafu hata kiumri,kilomita zimesoma sana. kwa hapa kwetu umri wake ni rika la madam rita poulsen.

ila inaonekana enzi nzake za usichana alikuwa kisu.
View attachment 2394672
Huyu demu alikuwa jirani yake na Pepe Kalle,Pepe Kalle akamlea kama Binti yake kipindi hicho.
 
Alikutana na Wema Sepetu wakawa wanakula na kulala Hotel za Five Star Arusha, Dar na Zanzibar, pesa yote ikaisha...ingia YouTube search Salama Na - Idris Sultan umsikie mwenyewe. Gari ya Maana ilikuwa BMW X6

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwenye Salama Na alijitahid sana kumawngushia mpira mshikaji wake juu ya upotevu wa zile fedha but it does'nt make any sense...Kuna bro mmoja alishinda BBA miaka ya 2007/08 aliitwa Richard the guys was humble very humble sio huyu Idriss....Nadhan baada ya upotevu wa hela jamaa ndio alipata somo vzr kuhusu wadada wa "mujini"
 
Simlaumu sana Idris kwasababu ukiingia kwenye 18 za dada wa mjini kuchomoka ni shughuli pevu. Labda familia na watu wa karibu waingilie kati. Ubaya ni kwamba kwa nyakati hizo una mawe utaona kama ndugu na marafiki wanakuonea wivu kutafuna mtoto mzuri Wema. Wadada wa mjini ni mashetani katika maumbo ya binadamu.

"Wadada wa mjini ni mashetani katika maumbo ya binadamu".
 
Kuna Mzee mmoja mmasai alikua chuga,pesa alikua nayo yakutosha sana,alikua ana miliki timu ya mpira wa miguu ya Parison ya Arusha,Mzee alikua anapanda juu ya ghorofa anaanza kugawa pesa! Sasa hivi sijui yuko wapi,pesa ilikata!

Mwanza kulikua na Pedeshee Mteka teka, Mhasibu wa Polisi Mwanza,jamaa alikua anakula wanawake balaa
Unamsemea papaa king aliyekua anapenda kucheza pool table pale triple a..?
 
Back
Top Bottom