Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Elly mutoto, Diblo mutu ya watu na kati ya Ubungo
 
Nadhani Lemutuz ni mtoto wa town kitambo sana. Mkuu wa uhamiaji aliyemuoa rafiki wa Lemutuz ni nani?
 

Attachments

  • Screenshot_20221208-204557_Instagram.jpg
    157.8 KB · Views: 62
Sema hana akili,mawazo ya kibaharia

Ova
kaka yangu mrangi habari za mwaka mpya 2023.

nipo hapa na livestream album mpya ya fally ipupa inayokwenda kwa jina la formule 7.

kuna track moja ya rhumba inaitwa MH, katika dakika 1:41 anataja jina la jasmin le tanzanie.

huyu jasmin ndio yule sister wa kitz anayeishi europe ambaye pia ni wakala wa wachezaji wakubwa wa soka?.
 
Wakuu kuna wimbo kama sio wa Christian Bella basi ni wa FM academia wazee wa ngwasuma wakimtaja OKIA JAMES kwa staili moja nzuri sana... Naomba jina la wimbo tafadhali.
okia james katajwa kwenye nyimbo nyingi za fm academia.

kama kwenye simu yako ume download boomplay, jaribu kusikiliza wimbo unaitwa kizimungala.

kuanzia dakika ya 2: 52 utasikia okia james akitajwa kwa mbwembwe na madoido.
Kizimungala | Boomplay Music
 
Katika hii album Kuna wimbo wa Mayday aisee ni wimbo mzuri sanaa
 
Juma Ngida Nyamihela alikua muajiriwa wa Wizara ya maliasili na utalii, kwa hio hapo sio rocket science kujua ukwasi wake ulitoka wapi. Jamaa tumekunywa sana pesa yake pale Delux Magomeni mapipa hapo ilikua sitting room ya watoto wa mujini karibu wote wakitoka mjini stop ya kwanza hapo. Deals zote za Long room zilipigiwa hapo. Daah Daslama ilikua ya moto sana enzi zetu.
 
Delux bar iko iko tu viti vya chuma

Lakini watu wanaokuja hapo teh teh

Any way sehemu ya kuongea mipango

Ova
 
Safi....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…