ni wimbo mzuri sana wa mahadhi ya rhumba, kule tiktok una trend sana. nimeona mpaka wadada weusi wa kimarekani na wazungu wanavutiwanao japo hawaelewi kilichoiwmbwa.
huu wimbo umefanya nimkubali fally ipupa japo mimi ni shabiki nguli wa ferre gola.
ktk intro, fally anasikikia akitaja jina la jamaaa anaitwa Adolphe Muteba Tshilamwina. wengi hata wacongo wenyewe wanajiuliza,huyu Adolphe Muteba Tshilamwina ni nani kiasi cha fally kumtaja ktk kila wimbo wa ndani ya album ile.
Adolphe Muteba Tshilamwina ni mfanyabiashara wa kicongo mwenye makazi yake paris, kinshasa na nairobi kenya. jamaa ana deal ktk biashara ya madini,ni mdau mkubwa wa biashara hiyo mwenye utajiri mkubwa.
amejielezea yeye mwenyewe ktk ukurasa wake wa LinkedIn.mcheck hapo kwenye video
View attachment 2532802View attachment 2532803View attachment 2532804