Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Delux bar iko iko tu viti vya chuma

Lakini watu wanaokuja hapo teh teh

Any way sehemu ya kuongea mipango

Ova
Delux walikua na mishkaki mitamu sana, na deals zote za mujini zilikua pale haswa za bandarini na long room. Mmiliki wa ile bar alikua mzee mmoja hivi wa kichaga alikua boss pale customs HQ. Hapo Juma Nyamihela- rip ilikua humkosi.
 
habari za utajiri wa juma nyamihela zili trend sana miaka ile. ni bahati mbaya au nzuri kulikuwa hakuna social media kama hivi sasa.
 
habari za utajiri wa juma nyamihela zili trend sana miaka ile. ni bahati mbaya au nzuri kulikuwa hakuna social media kama hivi sasa.
Enzi hizo watu wachache ndio waliokua wanawekeza pesa zao, wengi ilikua anajenga nyumba 1 au 2 , anakua na ka gari kake Mark II box na mobile phone basi. Kila siku ni birthday kula na kunywa 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndio maana hicho kizazi kimeisha na ngoma, ilikua hatari sana.
 
kaka yangu mrangi habari za mwaka mpya 2023.

nipo hapa na livestream album mpya ya fally ipupa inayokwenda kwa jina la formule 7.

kuna track moja ya rhumba inaitwa MH, katika dakika 1:41 anataja jina la jasmin le tanzanie.

huyu jasmin ndio yule sister wa kitz anayeishi europe ambaye pia ni wakala wa wachezaji wakubwa wa soka?.
View attachment 2476148
Kuna wimbo wake mmoja kautoa juzi unaenda kwa jina la SL( Steve loemba),wimbo mzuri sana mwamba amelangua wimbo wote Steve loemba,ilinibidi nimtafute IG aise,sijui ametoa sh.ngp?

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Katika hii album Kuna wimbo wa Mayday aisee ni wimbo mzuri sanaa
ni wimbo mzuri sana wa mahadhi ya rhumba, kule tiktok una trend sana. nimeona mpaka wadada weusi wa kimarekani na wazungu wanavutiwanao. kinachovutia zaidi ni ile melody na sauti ya fally.

huu wimbo umefanya nimkubali sana fally japo mimi ni shabiki wa ferre.

ktk intro, fally anasikikia akitaja jina la jamaaa anaitwa Adolphe Muteba Tshilamwina. wengi hata wacongo wenyewe wanajiuliza,huyu Adolphe Muteba Tshilamwina ni nani kiasi cha fally kumtaja ktk kila wimbo ndani ya album.

Adolphe Muteba Tshilamwina ni mfanyabiashara wa kicongo mwenye makazi yake paris, kinshasa na nairobi kenya.

jamaa ana deal na biashara ya madini.ni mdau mkubwa wa biashara hiyo mwenye utajiri mkubwa.

amejielezea mwenyewe ktk ukurasa wake wa LinkedIn.pia mcheck hapo kwenye video.

IMG_20230228_172439.jpg
IMG_20230228_171555.jpg
 
ni wimbo mzuri sana wa mahadhi ya rhumba, kule tiktok una trend sana. nimeona mpaka wadada weusi wa kimarekani na wazungu wanavutiwanao japo hawaelewi kilichoiwmbwa.

huu wimbo umefanya nimkubali fally ipupa japo mimi ni shabiki nguli wa ferre gola.

ktk intro, fally anasikikia akitaja jina la jamaaa anaitwa Adolphe Muteba Tshilamwina. wengi hata wacongo wenyewe wanajiuliza,huyu Adolphe Muteba Tshilamwina ni nani kiasi cha fally kumtaja ktk kila wimbo wa ndani ya album ile.

Adolphe Muteba Tshilamwina ni mfanyabiashara wa kicongo mwenye makazi yake paris, kinshasa na nairobi kenya. jamaa ana deal ktk biashara ya madini,ni mdau mkubwa wa biashara hiyo mwenye utajiri mkubwa.

amejielezea yeye mwenyewe ktk ukurasa wake wa LinkedIn.mcheck hapo kwenye video

View attachment 2532802View attachment 2532803View attachment 2532804
Aisee safi sana afu nilijua ni wimbo wa kimapenzi Kuna ni hustle
 
Enzi hizo watu wachache ndio waliokua wanawekeza pesa zao, wengi ilikua anajenga nyumba 1 au 2 , anakua na ka gari kake Mark II box na mobile phone basi. Kila siku ni birthday kula na kunywa 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndio maana hicho kizazi kimeisha na ngoma, ilikua hatari sana.
Umeme umewamaliza wengi aisee yaan ukisha kua na jina na ustar yaan inabid ujilinde aisee otherwise uwe kabla ya kumpelekea moto unaenda kumpima kwanza....

SEMA currently Ngoma haitishi kama zamani kipindi kile Cha feruzi- starehe kurudi nyuma...

Ogopaga sana shobo za wadada wa mujini.... Ndomu Huwa inatumika once....Next 🔂
 
Nilikua naongea na mwanangu mmoja nilimuacha vizuri nilipoondoka bongo, ananiambia wewe mwamba ni kama ulikikimbia kifo maana ule mlolongo wetu woote wa long room na wadada warembo wa enzi hizo wamekwenda na umeme !! waliobaki choka mbaya na hata mjini hawakanyagi. Basi nikamshukuru Allah tu yeye ndio alionionesha njia. Umeme bado upo mujini hapo. Tuwaombee waliotangulia mbele za haki.
 
Long room,wazee wa clearing &forwarding tena
Pesa nje nje lazima ngoma ikusogezee

Ova
 
Long room,wazee wa clearing &forwarding tena
Pesa nje nje lazima ngoma ikusogezee

Ova
Long Room tulikua tunapewa tu namba siku meli nzima ya bidhaa za mzee Zakaria- RIP ikiwasili bandarini. Basi baada ya kazi tunapitia tu ofisini kwake pale kitumbini unampatia mlinzi karatasi yenye number, baada ya dakika chache unaingia ndani unapewa mfuko wako wa Rambo umejaa noti zimefungwa kwenye rubber band na wewe unazidumbukiza kwa buti ya Toyota Mark II bila kuhesabu wala nini moja kwa moja unaelekea delux kula bia na kina Juma Nyamihela haahaaha, naongelea kipindi cha mzee Rukhsa maana alivyoingia Mkapa alitibua kiaina vile. Daslama ilikua rahaa tu.
 
Wakuu kuna wimbo kama sio wa Christian Bella basi ni wa FM academia wazee wa ngwasuma wakimtaja OKIA JAMES kwa staili moja nzuri sana... Naomba jina la wimbo tafadhali.
Diamond Musica katajwa pia kwenye wimbo wao "mapenzi ni kitu gani"
 
Long Room tulikua tunapewa tu namba siku meli nzima ya bidhaa za mzee Zakaria- RIP ikiwasili bandarini. Basi baada ya kazi tunapitia tu ofisini kwake pale kitumbini unampatia mlinzi karatasi yenye number, baada ya dakika chache unaingia ndani unapewa mfuko wako wa Rambo umejaa noti zimefungwa kwenye rubber band na wewe unazidumbukiza kwa buti ya Toyota Mark II bila kuhesabu wala nini moja kwa moja unaelekea delux kula bia na kina Juma Nyamihela haahaaha, naongelea kipindi cha mzee Rukhsa maana alivyoingia Mkapa alitibua kiaina vile. Daslama ilikua rahaa tu.
aise!!, kuna watu mmekula sana maisha katika ujana wenu. utawala wa ruksa nilikuwa bado primary nikifuta ujinga.mengi yaliyotokea yalikuwa juu ya uelewa wangu. nilikuja kuyasikia nilipokuwa O-level na Hi-Level.
 
Aaah enzi hizo post za kwenye mashirika ya umma na serikalini ulikua unapata direct kutoka chuoni ulivyochagua. Kuna sehemu hawa viongozi wameiharibu hio nchi, sie baada ya kumaliza tu UDSM tukapelekwa kibao customs na income tax kipindi ya Mwinyi. Basi ilikua ni full shangwe pesa za kumwaga.
Ndio hivyo tumekula maisha ila wengi wetu wameenda mbele za haki pia -RIP. Kipindi hichoo huyo papaa Msoffe alikua misheni town tu wa mjini anakakaa pale Salamanda na Empress Cinema, na alikua kapanga chumba kimoja hapo kinondoni mkwajuni. Sijui papaa Ndama nae alikua fala tu mtoto wa magomeni mapipa kule chini kama unaenda kigogo, mjini anakuja kavaa kandambili, wakija delux wanaomba bia. Uwa nacheka nikija bongo jinsi nchi ilivyotulia. Na misambwanda ya ukweli ilikua enzi hizo sio sasa kijimsambwanda kidogo tu kama cha Uwoya; watu wanameza mate. 🤣 🤣 🤣 Tumetoka mbali wahenga.
 
Long Room tulikua tunapewa tu namba siku meli nzima ya bidhaa za mzee Zakaria- RIP ikiwasili bandarini. Basi baada ya kazi tunapitia tu ofisini kwake pale kitumbini unampatia mlinzi karatasi yenye number, baada ya dakika chache unaingia ndani unapewa mfuko wako wa Rambo umejaa noti zimefungwa kwenye rubber band na wewe unazidumbukiza kwa buti ya Toyota Mark II bila kuhesabu wala nini moja kwa moja unaelekea delux kula bia na kina Juma Nyamihela haahaaha, naongelea kipindi cha mzee Rukhsa maana alivyoingia Mkapa alitibua kiaina vile. Daslama ilikua rahaa tu.
Unamkumbuka mzee sheta [emoji1]

Ova
 
Aaah enzi hizo post za kwenye mashirika ya umma na serikalini ulikua unapata direct kutoka chuoni ulivyochagua. Kuna sehemu hawa viongozi wameiharibu hio nchi, sie baada ya kumaliza tu UDSM tukapelekwa kibao customs na income tax kipindi ya Mwinyi. Basi ilikua ni full shangwe pesa za kumwaga.
Ndio hivyo tumekula maisha ila wengi wetu wameenda mbele za haki pia -RIP. Kipindi hichoo huyo papaa Msoffe alikua misheni town tu wa mjini anakakaa pale Salamanda na Empress Cinema, na alikua kapanga chumba kimoja hapo kinondoni mkwajuni. Sijui papaa Ndama nae alikua fala tu mtoto wa magomeni mapipa kule chini kama unaenda kigogo, mjini anakuja kavaa kandamili, wakija delux wanaomba bia. Uwa nacheka nikija bongo jinsi nchi ilivyotulia. Na misambwanda ya ukweli ilikua enzi hizo sio sasa kijimsambwanda kidogo tu kama cha Uwoya; watu wanameza mate. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tumetoka mbali wahenga.
Msofe si alikuwa Ana deal na pport wakati huo bandika bandua zile
Ndama anauza magari dalali lumumba...
Sisi wengine kuuza sim na kupigisha sim za michongo wakati ule International line deal kweli
Dah nmekweaaa sana mijengo ya posta na sehemu fulani fulani kutafuta line ttsslll International nkipata tunawaunganisha wadau,na wadau wetu wengi walikuwa wadosi
Sim zao wao walikuwa wanaongea mipango tu mwanzo mwisho
We kesho yake we pitia mpunga wako
Kwenye deal hyo nlijuana na watu wengi sana sana matajiri wa kihindi
Tena wenye majinaaa mjini
[emoji1]
Sema kuna mission moja hapo kitega uchumi ilifeligi wazee tukanasaga
Na kesi juu [emoji1] hujumu uchumi
Anyway tulikuja imalizaga
Hapo ndy nkaachana na mambo hayoo

Ova
 
Back
Top Bottom