Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Hatari sana enzi hizo Twanga ya Moto ,Ally Choki wa Moto.
 
Hii itawasaidia nini WaTz wanaohangaika na kutafuta unafuu wa maisha yao,acha ujinga basi
kama umekuja kwenye uzi huu kwa mategemeo ya kupata msaada wa kifedha au elimu ya ujasiriamali, imekula kwako. hutapata msaada wowote.

hizo njaa zako na hasira ya kuchapwa na maisha peleka kwenye nyuzi zingine, huku ni stress free zone. karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…