Tuwafukue mastaa tunaoishi nao mitaani

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Nikiwa nimekaa zangu nacheki game ya simba mara nikamuona Dr. Shika akikatiza huku akionekana yuko kihome-home zaid. Nikaanza kuwaza jinsi ambavyo hawa mastaa wanavyojificha kiasi kwamba anaweza kuwa jirani yako na usijue. Leo mm nawaanika ninaoishi nao mitaa ya huku Tabata na vitongoji vyake
Christian Bella
Ali kiba
Vannesa mdee
Hafsa kazinja(huyu ni mwanafunz wangu nimewahi kumfundisha wakati anasoma)
Mr Blue
Mtanga (comedian)
Tundaman
Rich mavoco
Banana Zorro
Masanja mkandamizaji
Madee
Rayvany
Nandy
Mchizi mox(huyu jamaa anabet sana)
Lulu(sasa yuko nyuma ya nondo)
Aslay
Msaga sumu
Bahati Bukuku
Mbasha
Sheddy clever
Stamina
Mkubwa Fella
Dogo janja
Na mkuu wa majeshi ya ulinzi tunaye huku ndiye hutupunguzia hata foleni asubuhi tuendapo makazini.
Taja mtaa na celebrity waliokuzunguka lengo ni kujua walipo ili watu wanaotaka kufanya nao kazi au kuwataka kwa miadi mingine wawapate.
 
Jamani huyo mkubwa fela si anakaa kilungule na mke wake sweetfela au amehama .....basi sina habariiii.

Mm MTU wa kuhamahama nilowahi kukakaa mtaa mmoja na yussuph mlela,nikaamia mtaaa mwingine skiner huniz ,Bob junior ,mayasa bila kumsahau kubwa LA maadui bi Hindu ..sasa hapa nilippnea chupu chupu kupanga kwenye nyumbani yake nilivyomjua mwenye nyumbani yeye niliondoka bila kuaga sio kwa mdomo ule bila kumsahau mayacele.


Mtaa mwingine niikaa mtaa mmoja na mzee yusuph kwa mkewe aliyrbaki.

Mwingine mtaa mmoja na Cathy lupia,ni hao tu
Hata mm ni star pia ....ila nisiyejulikana
 
Ukiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha,ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…