Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa kapotea sanahuku kwetu tunakaa na ndukulusudukucho, yupo poa sana!
Ahha hhhaa,hua anasumbua sana Dk. shika magazeti yangu
Huwa nikienda kusali parokiani pale makuburi huwa nampita pale kwa mpemba mara kibaoUkiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha,ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
Njoo Highbury hapa unywe HeinkeinUkiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha,ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
Pugu sehemu gani nije nikutembelee siku moja Dada anguMi huku kwetu pugu celeb ni mimi tu
Mji mpya moroHuku tupo na Afande sele
Avater yako inajieleza vizur ndugu celebMi huku kwetu pugu celeb ni mimi tu
Kiba na mdogo wake mara kwa mara tunachezaga nao hapa viwanja vya sigara. Nlichogundua ni kwamba kingkiba ni mtu simple saana. Anaogopa na kuheshimu watu.Nikiwa nimekaa zangu nacheki game ya simba mara nikamuona Dr. Shika akikatiza huku akionekana yuko kihome-home zaid. Nikaanza kuwaza jinsi ambavyo hawa mastaa wanavyojificha kiasi kwamba anaweza kuwa jirani yako na usijue. Leo mm nawaanika ninaoishi nao mitaa ya huku Tabata na vitongoji vyake
Christian Bella
Ali kiba
Vannesa mdee
Hafsa kazinja(huyu ni mwanafunz wangu nimewahi kumfundisha wakati anasoma)
Mr Blue
Mtanga (comedian)
Tundaman
Rich mavoco
Banana Zorro
Masanja mkandamizaji
Madee
Rayvany
Nandy
Mchizi mox(huyu jamaa anabet sana)
Lulu(sasa yuko nyuma ya nondo)
Aslay
Msaga sumu
Bahati Bukuku
Mbasha
Sheddy clever
Stamina
Mkubwa Fella
Dogo janja
Na mkuu wa majeshi ya ulinzi tunaye huku ndiye hutupunguzia hata foleni asubuhi tuendapo makazini.
Taja mtaa na celebrity waliokuzunguka lengo ni kujua walipo ili watu wanaotaka kufanya nao kazi au kuwataka kwa miadi mingine wawapate.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16]Njoo Kisarawe mi ndio Star
na ndio mitaa hiyo ya kina lulu nandy na ukishuka kidogo kimanga kuna mr blue na dullyUkiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha,ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
Kinyerezi ushuan km Kibaga,Kanga ila Uswahilini kwao kuna itwa Mtaa wa kariakooTabata ni zoa zoa. Wanaishi huku watu kibao... Ila Tabata Kimanga ni uswaz flan huwezi fananisha na Segerea au Kinyerezi.
moro mojaHuku kwetu tunaye msanii anaitwa Buteta aliimba wimbo wa "Anamacho mekundu"
suma mnazaletiHivi mabibo kuna msanii kweli? Hebu ngoja nichunguze.
Karibu sana mtoni streetMji mpya moro