Tuwafukue mastaa tunaoishi nao mitaani

Tuwafukue mastaa tunaoishi nao mitaani

Ukiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda

hua anasumbua sana Dk. shika magazeti yangu
 
Ukiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha,ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
Huwa nikienda kusali parokiani pale makuburi huwa nampita pale kwa mpemba mara kibao
 
Ukiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha,ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
Njoo Highbury hapa unywe Heinkein
 
Mi nipo huku mitaa ya Ferry. Celebrity jirani yangu wote mnamjua, sitaki mkutaja jina yakanikuta kama Mheshimiwa Sugu.
 
Nikiwa nimekaa zangu nacheki game ya simba mara nikamuona Dr. Shika akikatiza huku akionekana yuko kihome-home zaid. Nikaanza kuwaza jinsi ambavyo hawa mastaa wanavyojificha kiasi kwamba anaweza kuwa jirani yako na usijue. Leo mm nawaanika ninaoishi nao mitaa ya huku Tabata na vitongoji vyake
Christian Bella
Ali kiba
Vannesa mdee
Hafsa kazinja(huyu ni mwanafunz wangu nimewahi kumfundisha wakati anasoma)
Mr Blue
Mtanga (comedian)
Tundaman
Rich mavoco
Banana Zorro
Masanja mkandamizaji
Madee
Rayvany
Nandy
Mchizi mox(huyu jamaa anabet sana)
Lulu(sasa yuko nyuma ya nondo)
Aslay
Msaga sumu
Bahati Bukuku
Mbasha
Sheddy clever
Stamina
Mkubwa Fella
Dogo janja
Na mkuu wa majeshi ya ulinzi tunaye huku ndiye hutupunguzia hata foleni asubuhi tuendapo makazini.
Taja mtaa na celebrity waliokuzunguka lengo ni kujua walipo ili watu wanaotaka kufanya nao kazi au kuwataka kwa miadi mingine wawapate.
Kiba na mdogo wake mara kwa mara tunachezaga nao hapa viwanja vya sigara. Nlichogundua ni kwamba kingkiba ni mtu simple saana. Anaogopa na kuheshimu watu.

Bigup king
 
Ukiwa kituo cha Mawenzi Tabata,kuna jamaa anauza magazeti anaitwa Ngosha,ukikaa hapo kama nusu saa asbh lazima umuone Dk shika kaja kusoma magazeti.
Kama unatumia njia ya Kimanga to external kupitia jeshini lazima ukutane na MB Dog,ni moja ya mastaa wachache wa Bongo wanaotumia bodaboda
na ndio mitaa hiyo ya kina lulu nandy na ukishuka kidogo kimanga kuna mr blue na dully
 
Downtown Manhattan namuonaga Mange Morning anauza magazeti. ..
 
Back
Top Bottom