Tuwafukue mastaa tunaoishi nao mitaani

Huu uzi unawafaa watu wa Dar sana sisi huku Sumbawanga kuna staa wa kutambika na kutengeneza Radi...
 
Huu uzi unawafaa watu wa Dar sana sisi huku Sumbawanga kuna staa wa kutambika na kutengeneza Radi...
We waorozeshe tu mkuu, nao ni watu muhimu. [emoji23] [emoji23]
 
Mi nipo huku mitaa ya Ferry. Celebrity jirani yangu wote mnamjua, sitaki mkutaja jina yakanikuta kama Mheshimiwa Sugu.
Kwani si alishasema kuwa hapo atapageuza Hoteli baada ya kuhamia Dom. Bado tu?
 
aisee wa mkoani ....kuna mganga mmoja nakaa naye jirani anaitwa manyaunyau... doh ni noma sana huyu staa wa mtaa...
 
Mi nipo huku mitaa ya Ferry. Celebrity jirani yangu wote mnamjua, sitaki mkutaja jina yakanikuta kama Mheshimiwa Sugu.
Mwanaume unaogopaje jela bhana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila nlipokua chuo..star alikua lulu michael na marehemu ngwea..
 
Huku kwetu tupo wawili tu . Mimi na Bi . Nyau
 
Magomen sana wewe
 
Mbona sijasikia wa masaki mbezi beach, mikocheni ni aje......
 
Tegeta konde road ,anakaa timbulo,jamaa yuko peace sana hana makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…