Tuwafukue mastaa tunaoishi nao mitaani

Tuwafukue mastaa tunaoishi nao mitaani

Huu uzi unawafaa watu wa Dar sana sisi huku Sumbawanga kuna staa wa kutambika na kutengeneza Radi...
 
Huu uzi unawafaa watu wa Dar sana sisi huku Sumbawanga kuna staa wa kutambika na kutengeneza Radi...
We waorozeshe tu mkuu, nao ni watu muhimu. [emoji23] [emoji23]
 
Mi nipo huku mitaa ya Ferry. Celebrity jirani yangu wote mnamjua, sitaki mkutaja jina yakanikuta kama Mheshimiwa Sugu.
Kwani si alishasema kuwa hapo atapageuza Hoteli baada ya kuhamia Dom. Bado tu?
 
aisee wa mkoani ....kuna mganga mmoja nakaa naye jirani anaitwa manyaunyau... doh ni noma sana huyu staa wa mtaa...
 
Mi nipo huku mitaa ya Ferry. Celebrity jirani yangu wote mnamjua, sitaki mkutaja jina yakanikuta kama Mheshimiwa Sugu.
Mwanaume unaogopaje jela bhana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20180310-WA0094.jpg
 
Ila nlipokua chuo..star alikua lulu michael na marehemu ngwea..
 
Jamani huyo mkubwa fela si anakaa kilungule na mke wake sweetfela au amehama .....basi sina habariiii.

Mm MTU wa kuhamahama nilowahi kukakaa mtaa mmoja na yussuph mlela,nikaamia mtaaa mwingine skiner huniz ,Bob junior ,mayasa bila kumsahau kubwa LA maadui bi Hindu ..sasa hapa nilippnea chupu chupu kupanga kwenye nyumbani yake nilivyomjua mwenye nyumbani yeye niliondoka bila kuaga sio kwa mdomo ule bila kumsahau mayacele.


Mtaa mwingine niikaa mtaa mmoja na mzee yusuph kwa mkewe aliyrbaki.

Mwingine mtaa mmoja na Cathy lupia,ni hao tu
Hata mm ni star pia ....ila nisiyejulikana
Magomen sana wewe
 
Mbona sijasikia wa masaki mbezi beach, mikocheni ni aje......
 
Tegeta konde road ,anakaa timbulo,jamaa yuko peace sana hana makuu
 
Back
Top Bottom