Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Niko njombe kwenye mishe zangu.
Baridi ikiyoko hapa sio ya kitoto.
Nimepita muda si mrefu hapo karibu na soko kuu nimewaona walinzi hapo sokoni wako lindo, wamewasha moto wanaota.police nao wako doria kama kawaida
Nimetafakari sana ,kwa jinsi hii Baridi inavyopiga hapa halafu hawa watu wao wako nje kulinda usalama wa raia na mali zao halafu kuna mtu yuko zake ndani ya blanket huko kazi yake ni kukashifu hawa Askari.
Kwa kweli tuwape maua yao tu hawa watu.