Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Sijasema hazina umuhimu ila hapa TZ ni kupoteza muda na rasilimali kuwa na wahandisi wa komputer. Kazi wanazofanya hapa TZ hata veta anafanya.Computer science na engineering in computer engineering hizi zina umuhimu kwa ukimwengu wa sasa sema tu Tanzania bado kama vile mazingira yoa sio mazuri
Nazo kama vile ingefaa wazionganishe tu iwe moja kama inawezekana
CS ndio ipewe kuipaumbele kwa sababu tuna mifumo mingi inayowahita.Tanzania haitaji wataalamu wa kudesign hardware na huo uwezo haupo, sana sana wanaishia kukarabati komlouta zilizokufa hakuna cha zaidi kama kipo nijulishe.
Electrical and electronics engineer anaweza kufanya mambo ya mhandiasi wa komputa.