Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,306
Tutake radhi 😉Kwa uzoefu waTanzania ,ipo kila haja ya kufuta kosi za PHD. PHD za Tanzania balaaa ,ma phd yametuangusha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutake radhi 😉Kwa uzoefu waTanzania ,ipo kila haja ya kufuta kosi za PHD. PHD za Tanzania balaaa ,ma phd yametuangusha sana.
Kufuta PHD ni sawa Mkuu kwa mujibu wako kwakuwa ni balaaa! Lakini unafahamu kuwa Kuna tofauti Kati ya PHD na PhD?Kwa uzoefu waTanzania ,ipo kila haja ya kufuta kosi za PHD. PHD za Tanzania balaaa ,ma phd yametuangusha sana.
The devil is in the details.?Kufuta PHD ni sawa Mkuu kwa mujibu wako kwakuwa ni balaaa! Lakini unafahamu kuwa Kuna tofauti Kati ya PHD na PhD?
kabisa kabisaKuna degree zinatolewa Tanzania, especially UDSM,sua, mzumbe, zinatakiwa zifutwe hazina tija kwà wakati huu
Hiyo course ya MSD ifutwe haraka maana hata career progression yake haielewekiMwalimu Nyerere kuna Course inaitwa MSD yani bachelor in Management and Social Development, Utopolo mtupu afu mambo ya kusema Computer eng imefutwa sio kweli bali wame merge Computer na Telecom na kitoa course moja ni wazo zuri mana nowadays telecom haisimami yenyewe tena
Hiyo family consumer ndio inahusiana na vitu gan?Halafu kuna ambazo zipo sua hapo yaani nashindwa kuelewa
Bachelor of science in horticulture
Bachelor of science agriculture in general
Bachelor of science in agriculture extension
Sasa si bora wafute ya juu maana kilimo cha mboga mboga (horticulture) Bado kitaingia kwenye kilimo in general na agriculture extension officer si anaweza kuwa hata aliesoma in general
Bachelor of science in wood technology and value addition
Bachelor of science in forestry
Sasa hapo hao Forester si ndo wanasoma wood science sasa kulikuwa kuna ulazima wa kuwa na wood technology
Bachelor of science in human nutrition
Bachelor of science in family consumer
Sasa hapo family consumer inaweza ingia kwenye human nutrition
Mambo ya home economicsHiyo family consumer ndio inahusiana na vitu gan?
Kuziunganisha kutatoa kitu cha ajabu sanaComputer science na engineering in computer engineering hizi zina umuhimu kwa ukimwengu wa sasa sema tu Tanzania bado kama vile mazingira yoa sio mazuri
Nazo kama vile ingefaa wazionganishe tu iwe moja kama inawezekana
Mmmh aise kuna koz nyingne ni balaaMambo ya home economics
Laundry
Clothes and textile
Catering
Food and human nutrition
Hapo mwanzo hyo kozi ilikuwa ikiitwa husband care
Shida yetu tukasema ili tuajiriwe lakini zote zingekuwa practical zingesaidia sanaKuna degree zinatolewa Tanzania, especially UDSM,sua, mzumbe, zinatakiwa zifutwe hazina tija kwà wakati huu
Bachelor of science husband care? SUA hawavumi Ila wamoMmmh aise kuna koz nyingne ni balaa
Business administrationDigrii gani hazina maana hapa kwetu kwa mfano mkuu?
Au tukopi ''mkeka wa chuo cha Makerere'' nasisi tufute kozi tajwa hapo juu ?
Sasa unamsoma nyuki ili iweje aise? Naona wamefuta kozi kadhaa ambazo zinapatikana chuo cha kilimo sokoine ila kile chuo kina kozi za ajabu mno.Kuna degree ya ufugaji wa nyuki ingekuwa ya kwanza kufutwa hapa.
Nioneshe figure mkuu, sisi kama Tanzania tume export lita ngapi za asali na fedha za kigeni tulizoingiza baada ya kuuza asali?Unataka kusema uzalishaji wa asali pamoja na biashara yake (yakiwemo mauzo ya nje) hayana faida kwa nchi na wananchi mkuu ?
nyboma
Hizo figures wanazo TANTRADE na TFS, ila nimeuliza hivyo kwa sababu mimi niko kwenye sekta ya asali na inatengeneza fedha nyingi sana kupeleka Saudia Arabia, Yemen, Kuwait bila kusahau katika soko la ndani.Nioneshe figure mkuu, sisi kama Tanzania tume export lita ngapi za asali na fedha za kigeni tulizoingiza baada ya kuuza asali?