Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

Computer science na engineering in computer engineering hizi zina umuhimu kwa ukimwengu wa sasa sema tu Tanzania bado kama vile mazingira yoa sio mazuri

Nazo kama vile ingefaa wazionganishe tu iwe moja kama inawezekana
Sijasema hazina umuhimu ila hapa TZ ni kupoteza muda na rasilimali kuwa na wahandisi wa komputer. Kazi wanazofanya hapa TZ hata veta anafanya.
CS ndio ipewe kuipaumbele kwa sababu tuna mifumo mingi inayowahita.Tanzania haitaji wataalamu wa kudesign hardware na huo uwezo haupo, sana sana wanaishia kukarabati komlouta zilizokufa hakuna cha zaidi kama kipo nijulishe.
Electrical and electronics engineer anaweza kufanya mambo ya mhandiasi wa komputa.
 
Nadhani wangeulizwa watu waliosoma hizo course maana wanaweza kutoa picha halisi kuliko mawazo ya watu ambao hawajazisoma wala kuona ubora au ubovu wake kwenye maisha yao ya kawaida
 
Sababu yao kubwa ya kufuta hizo fani, wanadai ni..

Ni kuwapa staffs muda zaidi wa kufanya Tafiti.
Maana muda mwingi walikuwa wanatumia kufundisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi hata fizikia tu inaweza beba kozi za computer engineer Kama watunzi wa mtaala wataacha kukopi hovyo kutoka ulaya. Mfizikia anaweza kuwa comlomete package, ndio maana wenzetu .mfizikia nduio yupo maabara kutafiti quantum computer huku kwetu mfizikia ni mwalimu tu kushne!
Au computer engineering iwe post graduate course kwa fani zote za sayansi.
 
Huwezi kufuta Bachelor Degree in Human Resource Management. Labda uwe hujui umuhimu wake.
 
Unaposema wamefuta unapotosha ndugu yangu.
Hapo wameziunganisha zile zinazoendana.

Mfano Bsc in Telecom na Bsc in Comp Eng wameziunganisha na kutoa Bsc in computer and communication eng.

Hizo za community development the same.

Za HR the same.....

Ni kuwa wamepunguza namba za courses tu na nia yao kubwa ni kutanua wigo wa uelewa kwa wanafunzi na ajira za kuajiriwa au kujiajiri ......

Mimi nawapa KUDOS
 

Mkuu, kuunganisha kozi zenye kuendana ni jambo jema. Hapa naungana na wewe. Mawazo mazuri.
Nilikua napata taabu na wazo la kufuta (bila kuwa na namna mbadala)
 
Ndio hicho walichokifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesema hiyo computer Engineering wataisoma kwenye Electrical Engineering

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo actually kilichofanyika ni kuunganisha kozi zinazoshabihiana ndio imepelekea kufutwa kwa hizo kozi si ndio.

Uzi umekuja kwa namna ya jumla jumla sana.
Yaani eti ''Makerere wafuta kozi zisizo na tija, na ni hizi zifuatazo''.... Computer Engineering ipo...
Kaaah....
nisingeweza kukielewa hicho chuo.
 
Bachelor of sociology iwe ya kwanza

Bachelor of development studies

Hayo makozi hata anaeyesomea hajui akitoka hapo anaenda kuwa Nani[emoji1787][emoji1787]
 
Mleta Uzi ameleta habari Nusu, mwisho wa siku amechanganya watu.

Ila ndio hivyo zimeunganishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…