Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Huyu nilisikia stori zake tu enzi nikiwa shule ya msingi.Manyoto Ndimbo
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nilisikia stori zake tu enzi nikiwa shule ya msingi.Manyoto Ndimbo
HahahahaIsrael Nkongo bado yupo. Zile ngumi baada ya kula 10M ainyonge Yanga hatasahau kamwe.
to hate someone hii ni step mbaya sana why mkuu,Mr.Mwandike kwangu alikuwa refa mzuri tu pamoja na mapungufu yake kama marefa wengine.Kuna mareferee wawili hapa duniani nawachukia sana
1 Victor Mwandike
2 Cuynet Cakir
dah ili jamaa liliwekwaga mpaka kwenye pesCollina alikuwa shidaa.View attachment 1211730
Isaro Chacha
Mohamed Abdulkadir
Mkuu kuna refa mmoja Ulaya alikua ana shingo ndefu anatoka kati ya Norway au Sweden wa miaka ya hivi karibuni jina limenitoka?Hahahaha
to hate someone hii ni step mbaya sana why mkuu,Mr.Mwandike kwangu alikuwa refa mzuri tu pamoja na mapungufu yake kama marefa wengine.
eeee mkuu nimekuelewa,mimi na wewe hatuna haja ya kuchukiana maana hatujachukuliana wake!!!ahsante sanaPamoja na uzuri wake alikuwa hampendi Yondani kama kamchukulia mke wake.
Wakati Yondani yuko Simba kadi nyingi nyekundu alipewa na Victor Mwandike. Kila mechi alitulisha umeme nilimchukia sana mpaka kesho.
Cuynet Cakri Huyu mechi moja anaweza kutoa kadi hata thelathini kila faul yeye kutoa kadi tu.
Kitendo cha kumpa kadi nyekundu Luis Nani kwenye mechi ya Man united vs Real Madrid pale OT kilisababisha tutolewe UEFA kwa msaada wa huyu poyoyo wa kituruki namchukia mpaka kesho.
Kama unamuunga mkono Victor mwandike nawewe nakuchukia mpaka kesho