Tuwakumbuke marefarii wa zamani katika soka

Pierluigi Collina
Screenshot_20190920_105220.jpeg
 
Manyoto Ndimbo, Marijani Shabani Marijani, Ramadhani Kaabuka, Zuberi Bundala, Saidi Almasi, Selemani Mwinyikondo (Kisauti), Okoth nk.
 
Pamoja na uzuri wake alikuwa hampendi Yondani kama kamchukulia mke wake.

Wakati Yondani yuko Simba kadi nyingi nyekundu alipewa na Victor Mwandike. Kila mechi alitulisha umeme nilimchukia sana mpaka kesho.

Cuynet Cakri Huyu mechi moja anaweza kutoa kadi hata thelathini kila faul yeye kutoa kadi tu.

Kitendo cha kumpa kadi nyekundu Luis Nani kwenye mechi ya Man united vs Real Madrid pale OT kilisababisha tutolewe UEFA kwa msaada wa huyu poyoyo wa kituruki namchukia mpaka kesho.

Kama unamuunga mkono Victor mwandike nawewe nakuchukia mpaka kesho
to hate someone hii ni step mbaya sana why mkuu,Mr.Mwandike kwangu alikuwa refa mzuri tu pamoja na mapungufu yake kama marefa wengine.
 
Pamoja na uzuri wake alikuwa hampendi Yondani kama kamchukulia mke wake.

Wakati Yondani yuko Simba kadi nyingi nyekundu alipewa na Victor Mwandike. Kila mechi alitulisha umeme nilimchukia sana mpaka kesho.

Cuynet Cakri Huyu mechi moja anaweza kutoa kadi hata thelathini kila faul yeye kutoa kadi tu.

Kitendo cha kumpa kadi nyekundu Luis Nani kwenye mechi ya Man united vs Real Madrid pale OT kilisababisha tutolewe UEFA kwa msaada wa huyu poyoyo wa kituruki namchukia mpaka kesho.

Kama unamuunga mkono Victor mwandike nawewe nakuchukia mpaka kesho
eeee mkuu nimekuelewa,mimi na wewe hatuna haja ya kuchukiana maana hatujachukuliana wake!!!ahsante sana
 
1. Victor Kassai- Hungary
2. Victor Mwandike
3. Meja Isaro Chacha
4. Omar Abdulkadir
 
Back
Top Bottom