Tuwakumbuke Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Kuelekea 9 December: Abbas Max (1918 - 1992)

Tuwakumbuke Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Kuelekea 9 December: Abbas Max (1918 - 1992)

Waliosahaulika na nani? Wewe mbona umewakumbuka?
Mnachihangu,
Wamesahaulika na aaandishi wa kitabu cha Historia ya TANU kilichoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni.

MImi nimewakumbuka kwa kuwa ni wazee wangu.
 
Tukiwakumbuka itatusaidia nini..??uhuru uliletwa na tanu kwa uongozi madhubuti wa Mwalimu JK.Nyerere hilo ndilo tunalolijua kama watanzania.

Usitake hadi wapika kahawa nao wakumbukwe...kisa tu walipika kawaha kijiwe alichokua anaenda kupiga story JKN.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom