Huyu alitokea Biashara ya Shinyanga moja kwa moja mpaka Yanga.Edibily Lunyamila
Edibily Lunyamila
👍Juma Ameir Maftah
Asante kwa kumbukumbu muruaView attachment 1122342
Nakukumbusha, hii ndiyo Pamba ya Mwanza enzi hizo, timu yenye uwezo mkubwa na wachezaji ambao kama leo wangekuwa wanacheza, basi Ulaya ni kunusa tu.
Waliocheza Simba enzi hizo waulize kikosi hiki, TP Lindanda au Wana Kawekamo.
Waliosimama toka kushoto: Madatta Lubigisa,
Rajabu Musoma,
Beya Simba,
Nteze John ‘Lungu’,
Kitwana Selemani ‘Popat’,
Fumo Felician,
Pascal Mayala na
Paul Rwechungura.
Waliokaa toka kushoto:George Gole,
Khalfan Ngassa,
Ally Bushiri,
Alphonse Modest,
Mao Mkamy ‘Ball Dancer’,
Saleh Muhammad,
Hamisi Nyembo na
Nico Bambaga
Kilichofuata baada ya hapo: Madatta alistaafu akiwa Pamba, Beya na Nteze walitua Simba, Fumo na Mayala walienda Yanga, Gole alibaki Pamba, Ngassa na Ball Dancer walitua Simba, Modest alienda Simba kisha Mtibwa Sugar, Bambaga alienda Malindi kisha Simba
Huyo golie Madata Lubigisa mwanae alikuja kucheza mpaka Simba ile ya mwaka 2003View attachment 1122373
* KIKOSI KAMILI CHA PAMBA F.C. YA MWANZA ( T. P. LINDANDA au KAWEKAMO ) ENZI HIZO.
Waliochuchumaa ( Kutoka Kulia ).
Hamza Mponda.
Juma Amir Maftaha.
Rashid Abdallah.
George Masatu
Hamis Nyembo.
Abdallah Bori na
Khalfan Ngassa.
Waliosimama ( Kutoka Kushoto ).
Madata lubigisa.
Ibrahim Magongo.
Fumo Felician.
David Mwakalebela.
Rajab Risasi.
Hamisi Selemani.
Beya Simba,
Ali Bushiri.
Hussein Amani Masha na
Paul Rwechengura
Huyo golie Madata Lubigisa mwanae alikuja kucheza mpaka Simba ile ya mwaka 2003View attachment 1122373
* KIKOSI KAMILI CHA PAMBA F.C. YA MWANZA ( T. P. LINDANDA au KAWEKAMO ) ENZI HIZO.
Waliochuchumaa ( Kutoka Kulia ).
Hamza Mponda.
Juma Amir Maftaha.
Rashid Abdallah.
George Masatu
Hamis Nyembo.
Abdallah Bori na
Khalfan Ngassa.
Waliosimama ( Kutoka Kushoto ).
Madata lubigisa.
Ibrahim Magongo.
Fumo Felician.
David Mwakalebela.
Rajab Risasi.
Hamisi Selemani.
Beya Simba,
Ali Bushiri.
Hussein Amani Masha na
Paul Rwechengura
Yeah,Huyo golie Madata Lubigisa mwanae alikuja kucheza mpaka Simba ile ya mwaka 2003
Madata Lubigisa bangi zilimwacha salama?Paulo Rwechungura.
George Masatu.
Deo Mkuki.
Mao Mkami.
Beya Simba.
Hussein Masha.
Kitwana Selemani.
Fumo Felician.
Nteze John.
Madata Lubigisa.
Asante kwa kumbukumbu murua
Yap Nasikia Mchezaji wa Malindi akiitwa Abdu Malaika alikuwa anajiandaa kupiga penalty Basi Juma Mhina akaanguka mapema so ikawa kazi rahisi kwa Abdu Malaika kufunga goli lililosababisha timu ya Malindi kuwa Mabingwa wa Tanzania yasemekana Mwanza Nzima ilikuwa kama imepatwa na Msiba mji ulikuwa kimya kabisa Juma Mhina akaokolewa na Polisi nadhani ndio ukawa mwisho wake kuchezea Pamba na Ndipo Paul Rwechungura akawa kipa wa Pamba... Wana kawekamo walikuwa juu kimpira kufungwa na wazenji ilikuwa fedheha sana...Aliwahi kuuza mechi moja pale ccm kirumba, alitolewa uwanjani na escort ya polisi
Marehemu Dan Mhoja sizani kama aliwai kuchezea Pamba. Alitoka Biashara ya Mwanza akasajiliwa na SimbaPaul Rwechungura
Mao Mkami
Dan Muhoja
James Washokera
Jemin Kiiza
Nico Bambaga
John Makerele
Khalfan Ngasa
Nteze John
Hamza Mponda
Ongeza Adolf Richard alivyotoka Pan Africa alienda PambaPaul Rwechungura
Mao Mkami
Dan Muhoja
James Washokera
Jemin Kiiza
Nico Bambaga
John Makerele
Khalfan Ngasa
Nteze John
Hamza Mponda
Roul ShunguAliyekuwa Mkongo, jina lake nimelisahau, ila alikuwa maarufu kwa jina la "BATALOGOTA BENYEWE KUNYAVU!"
Jina hilo lilitokana na MAJIGAMBO yake kuwa timu zitakazokutana na Pamba, zitakuwa na kazi moja tu, kuokota mipira kwenye nyavu baada ya kufungwa magoli!
Yeah, ndio ilikuwa hivyo aliinyima pamba ubingwa wa kombe la Muungano, watu walihuzunika sana, alihama mwanza kwa muda manake hadi mtaani watu walikuwa wanamviziaYap Nasikia Mchezaji wa Malindi akiitwa Abdu Malaika alikuwa anajiandaa kupiga penalty Basi Juma Mhina akaanguka mapema so ikawa kazi rahisi kwa Abdu Malaika kufunga goli lililosababisha timu ya Malindi kuwa Mabingwa wa Tanzania yasemekana Mwanza Nzima ilikuwa kama imepatwa na Msiba mji ulikuwa kimya kabisa Juma Mhina akaokolewa na Polisi nadhani ndio ukawa mwisho wake kuchezea Pamba na Ndipo Paul Rwechungura akawa kipa wa Pamba... Wana kawekamo walikuwa juu kimpira kufungwa na wazenji ilikuwa fedheha sana...